Vijana wa kiafrika na vizee vya kizungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa kiafrika na vizee vya kizungu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Scientist, May 7, 2009.

 1. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF, naweza kupata ufafanuzi ni kwanini ughaibuni vijana wengi wa kiafrica wameoa/wameolewa na VIZEE vya kizungu?? Au ndio matunda ya SEX TOURISM inayoendellezwa na VIZEE huku AFRICA???
   
 2. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Makaratasi kijana. Huelewi tu!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  makaratasi ndugu.
   
 4. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah ama kweli!! mimi huwa nabahatika kukutana nao airport maranyingi ,yaani mtu na kibibi kizee,unasikia,'..and this is my wife...!' ila kwa nomanoma kiaina.
   
 5. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakipata makaratasi hamna wife wala husband, anatafuta dogodogo anajidai amenyanyaswa!! si unajua wanaogopa wakipata vijana kabla ya makaratasi watatembeza mbwa kwa hiyo bora waoshe vizee!
   
 6. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Ndo maana yake.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Muulizeni Koba
   
 8. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  On the same token, if it is a sham marriage may have negative consequences(Under U.S. Immigration Laws) even if you are granted citizenship. INA Puts it clearly that any LPR status obtain by fraud shall render you deportable. You may also lose your citizenship because of that issue of misrepresenation under S.340(a) of the aforementioned Act.

  Just a caution to aspiring wabeba vibibi na vibabu.
   
 9. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni lipi lililo kufanya ukadhani kuwa hao wazungu ni vizee ?sura au maumbile ?au ulibahatika kuwauliza umri wao ?unahitaji uingiliane nao ili uwaelewe kwani kijana wa kiafrika mwenye umri wa miaka 23, ni tafauti na kijana wakizungu mwenye umri kama huo, yule mzungu mara nyingi ataonekana kama vile mwenye umri unaozidi miaka 30 na kuendelea, ni vile wanavyokuwa kwani wengi wao wakisha fikisha 30 wanaonekana kuwa na nyuso za uzee.na kufahamika kuwa ni vizee katika jamii zetu ,kuna jamaa alikuja na msichana wake mwenye umri wa miaka 29 hapaBongo ukimuona mama mzazi wa jamaa na huyo msichana utadhani wapo umri sawa wakati mama mzazi wa kijana alikuwa na umri wa 54. pia kuna siri nyingi ndani yake kwani wasichana wa kizungu fantasi zao tafauti na za hawa wakwetu ,kwa mfano wazungu hufurahia sana wanapokutana na mtu mweusi mwenye mchi wa kukobolea mahindi ,wakati dada zetu wakigunduwa hilo wengi wao hutowa vijizarura na kutoweka .na ukija dada zetu wanao olewa na vizee wa kizungu mara nyingi ni vizee hao ni wale wanaoranda na pipi na kuwapa watoto wa shule.
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sioni ubaya wowote wa mtu kuolewa au kuoa kizee cha kizungu. Huo ni uamuzi wa mtu. Na si kila mtu ana oa au kuolewa na kizee kwa sababu ya makaratasi.
  wengine jamani wana mapenzi ya kweli, wazungu wanajua kucare na wanajua kupenda kwa kumaanisha. Age is just a number.
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Aha :Age is just a number ? Unanikumbusha ule msemo mpenda chongo huyaita makengeza .please ....stop cheating yourself.,
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mkuu Shadow - with due respect, u must be knowing kuwa sheria na utekelezaji wake havilandani mara zote. Ulichosema ndiyo sheria ( de jure) de facto huo mchezo upo sana.Kuna couple moja mwanaume ndo Mtz Kijana mtanashati.Mwanamke ni mtu mzima mzungu.Mwanamke anaamini kabisa kuwa " wameoana" na wanapendana kama mke na mume.Mwanaume yeye akilini anajua hiyo ni deal.They have been together for like 5 years now.All family members wa kijana wanajua kuwa hiyo siyo ndoa ni geresha tu.Anasubiri mambo flani yakae sawa aanze!
  Ila pia ninajua couple nyingine, mwanamke msichana mdogo kaolewa na mzee wa kizungu na siyo kwa ajili ya makaratasi.I think that is a genuine love marriage.
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ulichosema kina ukweli kabisa hasa inapokuja kwa mwanamke kuolewa na mtu mzima au mzee.Wako wengi sana wameamua kuolewa na wazungu wenye umri mkubwa kwa sababu ya mapenzi ya kweli.

  Ila ndugu, ni wanaume vijana wachache sana wenye kuwa na mapenzi ya kweli kwa mwanamke mwenye umri mkubwa.Kama wapo basi labda ni 0.01%.Lazima kunakuwa ana ajenda iliyojificha.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Waongo tu hao,
  ni watumwa wa fikra na ni wavivu wa kufikiria.
  Utumwa wa fikra unasababisha utumwa wa kila namna,
  wanapelekewa kuwa watumwa wa kingono,
  wanatumika weee, yani hamna mapendo..
   
 15. Violet

  Violet Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli 99% za ndoa hizo (ughaibuni)ni makaratasi. Na ni kweli kabisa wazungu wanaonekana wazee haraka, utakuta ana 35, anaonekana kama vile ana 50. Kwenye disco la weusi hapa ninapokaa, ukienda unakuta wamama wakizungu wengi, wanatafuta. Kwakweli roho inaniuma sana( hawa wanaonekana kwenye +50). Na sijui kama wanajitahadhari na ukimwi
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hakuna mapenzi yoyote hapo!
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Wale wazee unaowaona ni singles au widows, wana Pesa yao ya kumwaga inaoza bure kwenye akaunti huko kwao, so wanataka mtu wa kuwasaidia kuspend.

  Mzee unataka kamoja nikutumie contact? Tehe te he te he!!
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Im not cheating myself, ukweli ndio huo age is just a number.
   
 19. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  watu weweeeeeeeeeeee!
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Lile XXXL toka North dakota vipi......
   
Loading...