Kuna vitu vinagusa yapo mambo ukiyasoma unahisi kusisimka na kikweli watu wanazungumza mengi lkn kuna baadhi na muhimu husahaulika!
Katika pita pita zangu nimeona mwanamke mwenzangu kaongea kitu...
Huyu mkaka(lecturer) nimejuana nae 2008 mwaka naoanza masomo chuoni. Akatokea kunipenda sana ila kiukweli sikuwa na time nae kabisa though tukawa marafiki sana shida yangu mimi anaijua na tatizo...
Aisee hakuna kitu inakeraa Kama kupiga show afuu manzi akawa yupo kimyaa tu hata hatoi Vilioo.... Aisee huwa inakeraa sanaa bora uvaee uendee tuu maana hizo ni Dharau... Raha ya show shangwe...
Mambo vip? wakubwa zangu shikamooni wadogo zangu mambo?
Ipo hivi jamani nina mwanamke muongo saana yaani alishanidanganya mpaka nimekua shazoea yaani mpaka akiniambia kitu now simuamini kabisaa...
Niaje wana jf. Straight to the point, Leo huyu mchumba wangu alinihidi kuja ghetto, cha ajabu kabla hajaja rasmi aliniomba nimuandalie chakula, basi kidume nikandaa msosi wa maana, baada ya muda...
Aisee huwa nashangaa Sana why Msichana akidate na Diamond lazima anakuwa na haters na watu Uanza kuandika sana mabaya yakee hata Kama ni ya zamanii!?? Ambao huachana nae baada ya kuliwa tu na...
Sijui nimeweka jukwaa sahihi.
Ok kifupi ni kuwa leo asubuhi nimekutana na meseji ya mke wa rafiki yangu aliyoituma akiniuliza:
"Shemeji uliwahi ona/sikia mwanamme kumchukia mkewe akiwa mjamzito?"...
Kwa mujibu wa ' Mtaalam ' mmoja wa Saikolojia ya Mapenzi amesema ya kwamba ni vigumu sana Wapenzi wawili / Wanandoa walio mbali Kijiografia kwa sababu mbalimbali za Kimaisha wakakaa huko bila '...
Huyu dada ni zaidi ya Miezi 6 tangu tumefahamiana
kiumri amenizid maana yeye ana miaka 30 na mm nna miaka 24 , maisha yake ya uchumi sio mabaya maana anafanya kaz na sio tegemezi
Tatzo ni...
The video says more. ....
The voice.....
The tone ....
The body....
Anavotizama kwa mahaba....
Kubembeleza.....
Hilo jifua na kono likinikumbatia uuwiiih sitamani aniachie hata kidogo.
I...
Kuna mdada nilidate naye online tukakubaliana kuwa siku ya kuonana tutakuwa tunaagiza kitu kimoja kimoja; hivyo tukakubaliana kinywaji cha kutumia. Guiness + Cocacola
Siku tulipoonana ilikuwa...
To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one.
Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa...
Leo nina muda wa kuchati, mwanaume yoyote anaetokea mkoani ani PM tupeane ujanja wa hapa na pale. Kama unajijua wewe ni mwanaume wa dar tafadhari pita hivi.
Katika mahusiano kuna vioja vingi lakini sometimes Wanaume huwa tunafake Sana Love ili mradi Upate kuridhisha mwili wako... unatumia kila gharama,Kilaa Mbinuu,Kila Uongoo kumrubuni mtoto wa watu...
Kama umepotezana na ndugu,jamaa na marafiki na ungependa muonane kama sio kuwasiliana basi we kazana kutafuta fedha, yaani kuwa na mpunga tu wa kutosha. Suala la namba watajua wao watakako itoa...
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa...
Simple question kwenu wote. Ni yupi utampa nafasi ya kufunga nae pingu za maisha?
Unayempenda sana au anayekupenda sana? Na kwanini?
Nawasilisha.
Analyse