Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Just left the big house to a bigger house Ain't have a girlfriend but the bitch is out Chanel croc bag, shit ain't even out With the gold chains, Himalayan, Birk' and cocaine Lit it up, Pac shit...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hebu naombeni experience zenu wadau et kama una uume inch 5 bado mdogo? kwa maana bado sielewi,
4 Reactions
110 Replies
15K Views
Mwanaume aliyetongoza kwa muda mrefu na akachunwa vilivyo lakini mwishoni akalala na Mwanamke na Mwanamke ambaye amemsumbua Mwanaume huyu kwa muda mrefu lakini mwishowe akakubali na ' Kulalwa ' na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu naendelea na nyuzi zangu za kuelimishana na kuongezeana maarifa kidogo. Ulishawahi kujiuliza kwa nini:- * Mtu huchukua maamuzi ya kujiua baada ya kuachwa, kufumania au kufumaniwa? *Kwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
Ni hivi, mimi situmii kinywaji ila girlfriend wangu anakunywa aina zote za bia sasa jana kaniomba hela anataka achukue bia hapa jilani mimi nikamnyima akaingiza mkono kwa nguvu katika mfuko wangu...
1 Reactions
211 Replies
16K Views
Hivi wadau mwanamke kushik simu yako ni sahihi maan hii tabia ukweli si ipendi inanifany ni mchukie kabisa huyu mama kijaa japo sijamuowa na nimekuwa nikimkataza mara kwa mara namuon kama hanifai...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
*Dear Anko,* Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamke ambaye akiamka tu basi nyumba yote inapoteza amani...ni kelele hadi mtaa wa pili. Asiolewe. Mwanamke ambaye anaporudi tu home mita mia kabla ya kufikia kelele zinaanzia huko...akifika tu...
7 Reactions
45 Replies
8K Views
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa Nina la Stanford(34), mkazi Wa wilayani Mbarali amefikishwa mahakamani na mke wake kwa kukataa kutoa taraka. Akimweleza hakimu Wa mahakama ya mwanzo, Bi Victoria...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
wakwe zangu kwa kweli wamenionesha ushirikiano mkubwa sana kwa huyu binti yao. baba yake alitokea kunipenda sana kwa jinsi ambavyo nlikuwa muungwana na mwenye heshima kwake. akanipa siri ya yeye...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakati mwingine hua nashindwa kuwaelewa wanawake. Mwanamke akiunganishwa na mwanaume toka kwa ndugu au rafiki yake ni rahisi sana kwa huyo mwanaume kumtafuna huyo mwanamke bila hata kumtongoza...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari WanaJF? Kuna ndoa ya jamaa yangu inapita kwenye mawimbi makubwa sana yaani anytime inavunjika ugomvi ni kwamba mwanamke kachukia sana jamaa kunenepa na kuota kitambi!! Anasema ni afadhali...
8 Reactions
153 Replies
15K Views
Mambo vip wakuu,, Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya mihangaiko ya weekdays siku kama ya leo wengi wetu hujaribu kuipumzisha akili na mwili pia, wengine hupendelea kwenda maeneo tulivu kama beaches n.k lakini wengine tunapendelea kukaa...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Waingereza niliwapendea kitu kimoja tu na ndio maana wapo hapo walipo! Wao hujifunza failure/makosa ya historia yao na kuyafanyia solutions kwa hiyo wanakua wanayazuia yasitokee tena. Mbinu hii...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…