Dejanta Member Apr 26, 2014 37 39 Oct 12, 2018 #1 Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
K keysman Senior Member Oct 5, 2016 112 82 Oct 12, 2018 #2 Sasa kwan wewe ni ke au me maaana haujaeleweka
Dejanta Member Apr 26, 2014 37 39 Oct 12, 2018 Thread starter #3 Mchumba wa kike mm ni mwanaume keysman said: Sasa kwan wewe ni ke au me maaana haujaeleweka Click to expand...
Mchumba wa kike mm ni mwanaume keysman said: Sasa kwan wewe ni ke au me maaana haujaeleweka Click to expand...
Dejanta Member Apr 26, 2014 37 39 Oct 12, 2018 Thread starter #6 Rangi yeyote mweusi au mweupe ,, asiwe mweupe wa kujicream evonik said: VP rangi na din Click to expand...
Rangi yeyote mweusi au mweupe ,, asiwe mweupe wa kujicream evonik said: VP rangi na din Click to expand...
Dejanta Member Apr 26, 2014 37 39 Oct 12, 2018 Thread starter #7 Dini awe mkristo dhehebu lolote evonik said: VP rangi na din Click to expand...
Barieda JF-Expert Member Aug 13, 2018 1,791 2,420 Oct 12, 2018 #8 Naona umekurupuka kuandika, nenda kakae ufikirie kwanza ndo uje uandike kwa umakini sifa unazohitaji, then watakuja wenyewe.
Naona umekurupuka kuandika, nenda kakae ufikirie kwanza ndo uje uandike kwa umakini sifa unazohitaji, then watakuja wenyewe.
Boro Nanga JF-Expert Member May 9, 2015 299 195 Oct 21, 2018 #10 unafeli mzee baba ,mambo gani haya unatuaibisha