Nawasalimuni nyote wadogo kwa wakubwa!
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina rafiki yangu (coreworker) anataka kuoa, Mchumba wake ni mchaga wa kirua ila amezaliwa na kukulia Dar, naomba kwa...
Ni kama nina mkosi.
Maana nina mapenzi ya dhati mpaka najiogopa. Lakini sijawahi kupata mahusiano ya dhati kama ambavyo mimi ninayo ni kuumizwa tu.
Wanaume nyie, shikamoni, nina ex boyfriend...
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia...
Sio mwanamke au mwanaume kama ni mchepukaji basi semina na vikao vya wiki moja au mwezi na zaidi ni burudani kwao.
Hii ni upenyo au njia ya wao kuvinjari, Mwanamke au mwanaume anakaa nje ya...
Leo nataka tuwashukuru wale hatukupata nafasi ya kuwashukuru kwa waliyofanya/support maisha yangu/yetu kwa namna moja ama nyingine.
Nikijitafakari hatua hiihapa nilipo, nimepita kwa mikono ya...
Iwe jioni au usiku hii ndio black and white ya maisha ya mjini
Iko wazi hakuna business inayolipa mjini kama kuuza papuchi directly or indirectly. Kazi yenyewe raha kweli, unatumiwa pesa ya kuja...
Enzi hizo niko na wife. Nishamuaga tangia siku tatu nyuma kua Jumapili nitasafari kikazi kwenda Morogoro kwa muda wa siku tatu. Huku mimi nilikua nishapanga na sweetie wangu Mboni kwamba tunaenda...
Habari za jioni wakuu.
Mwenye uzoefu ni mkubwa kuliko wewe, hata kama umri umemzidi. Haya basi nishauri wewe mwenye uzoefu.
Ni hivi, niliwahi kuishi mkoa fulani miaka 3 iliyopita na mwaka jana...
Mimi namshukuru sana MWENYEZI MUNGU Kwani amenijalia maisha siyo mazuri sana wala mabaya sana. Kanipa mke katujaalia watoto 4 kakibanda ka kujisitiri na wanangu. Lakini nikaona pale ukweni hapa...
Kwa jinsi niliyoyaona Jana nilishindwa kuamini, nilipigiwa simu saa tano usiku nikiwa kazini na kijana wangu wa kazi kwamba wife anajipodoa usiku huenda anatoka nikatoka na pikipiki nikaipaki...
Utandawazi bana!!
Eti siku hizi ni mwendo bed za 6x6, lakini ukikwaruzana na mwenzi wako utakiona cha mtema kuni usiku kucha
Yaani wakati wa kulala kila mmoja anajipanza kwenye angle yoyote ya...
Habari wakuu,katika harakati za maisha nilijikuta nimeingia kwenye mahusiano na binti mmoja ilikuwa mwaka 2015.
Bahati mbaya uhusiano huu ulidumu kwa muda wa miezi miwili tu na baada ya hapo...
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea?????
Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi
Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas...
Almost vitu vyote ndani ya nyumba unaweza fanya mwenyewe kama kupika, kufanya isafi nyumbani kwako, kuhudumia mifugo, shambani, ndugu jamii na marafiki zako so unapooa unaongeza faida gani kwenye...
Naamini wengi mshavalishwa na kuvalisha,
Je ni mda upi sahihi wa kumvisha pete mpenzi wako?
Ni mambo yapi muhimu yanapaswa kuwepo wakati wa zoezi la kuvalisha pete?
Pete nzuri ya uchumba ni dola...
Wakuu pole na shughuli za kila siku., siku moja niliingia facebook nkakuta Friend request kutoka kwa msichana mmoja, basi nka mu-accept.
Baada ya muda mfupi mtoto akanitumia sms inbox nkamjibu...
Wadau nimekutana na ndg yetu mmoja ambaye anateseka na hili tatizo ambalo hata mimi nimeona ni gumu kidogo..
Mimi naitwa Joseph leo nimeudhika sana ndg zangu ndiyo maana nikaamua kuomba ushauri...