Huu ni mstari uko kwenye Biblia unasema hivi "Mwanamke ni kiumbe dhaifu tuishi nao kwa akili" je! ina maana mwanaume kushindwa kuishi na mwanamke anakuwa hana akili" ebu wenye kuweza kufafanua...
%"NGUVU YA KITANDA" %
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa...
Ananisumulia shoga yangu tukiwa kwenye "ulabu" yaliyomkuta.
Anasema kuna bwana alikuwa anamtaka awe rafiki yake kimapenzi lakini sasa tongozo za yule bwana zimemfanya amfyekelee mbali hataki hata...
House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku.
Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama...
With the increasing cost of living, many families homes can no longer rely on a single income so both men and women have to work – often out of the home. Thus, house helps have become a necessity...
Love is not a feeling or an emotion! Its is AN EXPRESSION OF ALL OTHER EMOTIONS IN A SINGLE WORD. in the same way if you say you love someone,its not love ,its all mixed emotion like...
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi...
Huu Mchezo usiuchezee wewe..
Hizi mambo za kukosea namba zipo sana, na wengine wameoa na kuolewa na wakosea namba (snipers)[emoji16][emoji16].
(A) Basi bwana siku nime relax pahala. Mara ghafla...
Ni muda kidogo umepita nilikua na mahusiano na mdada mmoja. Baadae nikachunguza kumbe alikua ni mchumba wa mtu nikampotezea mdogo mdogo. Juzi juzi baada ya kumaliza chuo ndo akafunga harusi, cha...
Ukengeukaji maana yake Rahisi ni kuacha njia ipasayo au kukana lile kusudio lililolengwa iwe kiimani ama patano flani utaona kimandiko mke ni Msaidizi ukiwa msaidizi unatakiwa uifahamu kazi vizuri...
Wakuu poleni na majukum ya kitaifa..Niende moja kwa moja kwenye mada yangu familia y2 tumezaliwa watoto wengi Kidogo lkn hatuchangia wote baba na mama mmoja kutokana na hali hyo wengine tukajikuta...
Nyie wanaume mlioko huko daslama mnaosema mabinti wazuri, wenye mapenzi ya dhati na mabikra eti wameisha hivi mmeshawahi kuitembea hii nchi kweli?
Aisee watoto wabichi bado wapo bana, huku niliko...
Wadada wa hapa JF,
Hatimaye nimeamua kujimwaga kwenu.
Niko tayari kujikabidhi nivurugwe kimapenzi na mdada wa nguvu! Mimi ni mwanaume na ninafanya kazi nzuri tu.
Napenda binti mchangamfu...
Wapendwa,
Mimi sio mhuni wala sijawahi kuwa mhuni.
Hivyo napenda kusema kuwa niko seriou na ninachosema. Nataka kuwa na urafiki tu na sio vinginevyo na binti wa chuo anayemalizia mwaka wa...
Kwa saa 2 kuanzia sasa nitasikiliza na kutoa ushauri kwenye masuala mbalimbali yahusuyo mahusiano. Hapa kwenye thread hii na PM. Karibuni wale walio serious
Kwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu
Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji...
Wanawake mfute hii kauli mara moja.
Hivi mnajua Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu?
Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho...