Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Leo nimepata muda wa kusikiliza radio EFM kipindi cha Ubaoni, wana segment inaitwa Ripoti ya Leo.
Hapo wamerudia ripoti ambayo wengi wameomba irudiwe.
Msimuliaji alikuwa ni mama ambaye mume wake ndo kafanyiwa kitendo hicho, haijafika mwisho kiasi cha kujua kwa nini mtoa huduma kamfanyia hivyo mteja wake, kipindi kitaendelea, watakaopata nafasi wanaweza kujua nini kilijiri.
Ila inasikitisha aisee.
Tukio ni Dar es Salaam, segment hiyo inarushwa kuanzia saa 12:30 jioni.
Hatari sana, kwa wale wadau tunapeana tahadhari.