Bidada anataka kuzaa na mimi..

Bidada anataka kuzaa na mimi..

Una mpotezea dada wa watu time yake tu ...[emoji41]kama ni ivyo njoo PM tuongee jinsi ya kugawana hela zake
 
Una mpotezea dada wa watu time yake tu ...[emoji41]kama ni ivyo njoo PM tuongee jinsi ya kugawana hela zake
Hahaha..unakula usisahau kuna kuliwa.
Uyu manzi nadhan kuna kitu kaona sio bure.
 
Weka picha.
Hiyo apo..
Screenshot_20181124-181241.jpeg
 
Kuzaa na mtu ni kitu cha kawaida tu;cha muhimu asiwe na magonjwa ya kuambukiza hasa yaliyoshindikana.
 
Don’t try it....

Unless unataka kubaki bachelor for the rest of your life....

Atakua stalker kwenye ndoa yako ijayo...zaa na Mkeo wa ndoa
Nilimwambia jizi nina mtu wangu alilia usiku mzima..ata leo nimemwambia tuwe marafiki haelewi.
20181124_181455.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom