lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,710
- 2,387
Mambo ya Digital haya, yana ambatana na mihemko kibaoooo.
BASI bwana .
Nilimeet demu mmoja mtandaoni,wa huko kilimanjaro, enzi hizo uso wa kitabu(FaceBook) imecotton fire (pamba moto), baada ya muda tukakubaliana aje Dar na akifika tu nikeshe nae one night then kesho yake aelekee kwao Magomeni.
Basi mie nikawahi stendi kusubiri gari(si unajua tena mboga inakuja) basi lilipofika nikawa nasubiri ashuke mdada mrembooo, aisee mpaka abiria wanaisha sikuona mrembo. nikapiga simu, duh mtu aliyepokea nusu nizirai au nitoke mbio, alikuwa mdada kavaa wigi kama kabeba kuku kichwani, kabeba visalfeti ndo kawekea nguo (alikuwa amesema ye ni nesi KCMC) tabu ikawa nambebeaje kisalfeti.
Nikatangulia mbele ka siko nae tukafika restaurant akaagiza soda tu, nikaset alarm kujidai nimepigiwa simu kuna dharura nikamwita boda ampeleke kwao,aisee hiyo siku ndio niligundua kumbe nokia Asha ina sehemu ya blocking![emoji34][emoji34][emoji34]