Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Kuna wanawake wanaudhi sana, yaani hata noma haoni hivi mtu anakuona umetoka kwenye majanga, tena hapo ndo amekuja kukuliwaza, umemla kaondoka baadae anaanza leta mambo ya mizinga.
Ndani ya wiki moja kaomba hela mara 4 nimempa mara moja nyingine nimegoma, sina yaani wiki hii hii wiki ambayo anajua nimetumia zaid ya ......Tsh sababu ya majanga yaliyonikuta na bado anaomba leo muda huu tena hela ya viatu nyingine eti harusi
Ameniudhi sana na hivo viatu si chin ya 70 namjua huyu mwanamke kama huyu unakula tuu no malengo