Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nitafurahi sana kama nitapata rafiki wa kike mwenye kujielewa na mwenye mawazo mazuri kuhusu maisha ya kila sila pia awe mtu wa iman/dini. Kama upo tayar nichek kwa lukeloisaac@gmail.com any...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Tuendelee sasa kwa kuweka kwanza kile mhanga alichoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram Kwa kifupi amekubali kuwa ni yeye na amekiri kukosea kudate binti asiye sahihi na lawama zote...
107 Reactions
475 Replies
75K Views
Habari wana jamii! Sasa hivi kumeibuka lindi la wanandoa wengi kuachana. Kuna jamaa yangu aliachana na mkewe jamaa akaondoka kwa hasira bila kuchukua cheti chake cha ndoa. Baada ya Muda jamaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niliandika hii kitu muda mrefu ulio pita,ila kutokana na yanayo endelea ya wenye nguvu kutamani kula akiba ya wanyonge imenikumbusha kupandisha bandiko hili linalo kwenda kwa mtindo wa hadithi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo. Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa naye siku zote siku moja nikaamua kumtania...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni familia ya mke mmoja na watoto wawili na Mimi mwenyewe jumla ni watu wanne tunaishi mjini Nyumba ya kupanga, sina shamba wala mfugo wa aina yoyote kipato changu kwa mwezi ni laki moja na...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko ya kujenga taifa. Niende moja kwa moja katika Mada tajwa hapo juu. Moja kati ya vitu ambavyo makosa yake ukkyafanya utajuta mpaka uzeeni ni kukosea KUOA au...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
WanaJF habari zenu. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Kuna mkaka ambaye nampenda na ananipenda kwa dhati tumedate kwa miezi 18 mpaka sasa, na ninatamani anioe naye yuko tayari kunioa...
3 Reactions
87 Replies
9K Views
Ikitokea siku unaingia Gest/Lodge na mchepuko wako bila kujua unafika mapokezi unakutana na baba/Mama mkwe wako kama ndio manager wa pale utafanya nini? Binafsi mimi nitauliza tu mchele upo...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu.za usiku.nipo hapa na huyu bibie asiejielewa ananambia et kwao wanamuuliza uliza maswali...yupo hapa toka j3 ..huyu bibie hata miez 5 haijafika Mpaka nahis amekuja kuniwekea madawa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 Nimeajiriwa kwenye taasisi fulani hapa Dar es salaam. Elimu yangu ni Diploma of Education. Mi ni mrefu, mweusi. (hapa najua kuna girl hatanizingatia maana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Deleted
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello mnaendeleaje na habari za Jiwe huko Tanzania? Kwakweli kabla sijapaa kuja zangu nilipo, nilikuwa na urafiki na msichana mmoja ambaye anaonekana kuwa na vigezo vya kuitwa mke wa kuolewa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Shost alipata mtoto katika age ya earl 40’s, ni baada ya kuweka career fresh na kusimamisha kampeni kwake. Sasa ana binti wa miaka mine. Kwakweli huyu binti ni furaha ya shost, anafanya kila...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu..jana nilikua kwenye house party flan hiv huku kwetu...sasa madem waliokuja pale dah.huyu mshkaj wetu ni mtoto wa kishua sana,mzee wake ni mkurugenz flan hiv kwenye kitengo...ni fisadi...
19 Reactions
150 Replies
11K Views
Rejea Mada hapo mdau tupate experience yako Maana hawa watu akili zao wanazijua wenyewe
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tusichoshane under 26 kaeni mbali na mimi kabisa, E bhana hee,kweli ng'ombe hazeeki maini. Mapenzi hubadilika kila wakati,wazee mnapenda watoto wadogo sana,ila na sisi ache tukomae na hawa akina...
1 Reactions
78 Replies
11K Views
Habari zenu wakubwa,, Ni hvi ,mwaka jana kuna mzee fulan aliwahi kunihadithia kisa kimoja cha ukweli kilichotoakea maeneo fulan hapa dar,kua kuna jamaa alikua ameoa mke wakafanikiwa kupata watoto...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi Natumaini mko poa Jamani mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa amebadilika hana heshima kabisa sometimes ananiambia ati ninanuka hapendi kuniona lakini nikiondoka tu anaanza...
2 Reactions
73 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…