Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uchumba ni kipindi uchunguzi,matazamio juhusu mwenza umtakae kuwa mkeo wa baadae..... UTARATIBU Kijana katika kipindi hiki ni muhimu sana kufanya uchunguzi wa siri kabla ya kufanya uchunguzi wa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman kuna kama madem wawili wili ilopita na hii niliwatongoza kwa wakt tofauti tofauti. Kilichonifanya niandke uzi huu ni kuwa wamenijibu kuwa wana watu zao,,sasa nashindwa kuwashawishi hapo ,yan...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Why africa?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Helloo..!!naitwa Bilal ni mkazi wa Arusha,Umri wangu ni miaka 25. Natafuta mchumba kuanzia miaka 21 - 24. Sifa awe mwaminif na mwenye mapenzi ya kweli. Pia awe tayari kupima VVU. kwa aliyetayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nifanye nini nipendwe Hodi hodi wanakao,khabari zenyu wazima Si fujo njo'ni kikao,sitaketi nasimama Na'ndika kwenye kibao,mengi yananisakama Nifanye nini nikundwe Pesa ni nyengi natoa,hivi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
MPENDE NA UMJALI SAAANA MWENZI WAKO! NAKUHAKIKISHIA HAINA KUFELI IPO hekima kwamba usioneshe unampenda sana mwenzi wako; awe mume au mke, rafiki au mchumba. Hekima hiyo inatoa angalizo kuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Za uhuru day wanajamii. Kuna watu humu huwa wanaleta changamoto wanazokutana nazo kwenye mahusiano yao, sana sana naona malalamiko mengi ni kuhusu usaliti. Sasa kuna wadau humu wanajifanya wao...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya kimahusiano na inaonyesha kuwa vijana wengi mmu bado hamjaoa au kuolewa tatizo kubwa Nini ? Fedha Familia Hatujapata tunaowapenda Single parent Au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Kila uchwao kumekuwa na mambo mbali mabali ya kimahusiano katika jamii yanayopelekea watu kuwa na msongo wa mawazo. Na hakuna sehemu za kuondolea msongo huo wa mawazo, matokeo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna observation nimekuwa nikiifanya na nimegundua most of Kurya men wanapenda sana kuoa Uchagani. Hivi wamegundua nini huko kwetu migombani?
4 Reactions
73 Replies
11K Views
Ukijijua una kasura kako private jitahidi kuoa mwanamke mzuri akusafishie ka ukoo kidogo
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Habari za majukumu Twende kwenye mada Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi. Tatizo Ni mke...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu. Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba mrejesho kutoka kwenu.. Kuna ukweli wowote kuwa mlijifunza kitu ambacho mimi sijui au mnachapiwa tuu kama wengine..[emoji28][emoji28] Nauliza tuu maana sijawahi kwenda na sina huo muda...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Viumbe vyote vya kiume vimeumbwa kwa muonekano mzuri (Yaani wazuri kwa Mvuto) isipokuwa binadamu tu?angalia simba dume, Mbwa Dume, Njiwa Dume etc. Hii ni hekima kubwa sana ya Mwenyezi Mungu, but...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pesa zimefunika hadi utu..mtu yuko tayari kuchinja binadamu mwenzie kama kuku kisa pesa.. Mtu akiamka asubuhi anawaza pesa tu... Barabarani watu kibao wanahangaika kwa mamia wanapishana.. Wauza...
5 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu poleni katika ujenzi wa taifa, Ni miezi 7 toka huyu mrembo nianze kumfuatilia,japo mtafutaji hachoki, Kwenye mahusiano ni kweli nilishindwa kumgegeda huyu mwanamke ndani ya miezi hizo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
KALI YA LEO JANA NILIALIKWA HARUSINI: Huko! mtaa fulani hivi Nilipofika kwenye ukumbi nikaona milango 2 imeandikwa: 1)WAZAZI 2)MARAFIKI nikaingia kwa marafiki, ndani nikaona tena milango 2. 1)WA...
2 Reactions
1 Replies
769 Views
  • Closed
Nimeona kejeli na matusi vimetawala, ahsanteni na nisamehe we, labda hii hairuhusiwi Jf. JamiiForums naomba hii post ifutwe.
7 Reactions
155 Replies
17K Views
Kuna watu wana mawazo kama yangu? sijawahi kuona umuhimu wa kuvalishana pete kwenye ndoa au mahusiano ya uchumba. Kuna binti nilitaka kumuoa mwaka jana, nikamwambia hatutavaa pete, akakataa...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…