YAANI MAISHA HAYA DAH!!!

YAANI MAISHA HAYA DAH!!!

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
KALI YA LEO JANA NILIALIKWA HARUSINI: Huko! mtaa fulani hivi
Nilipofika kwenye ukumbi nikaona milango 2 imeandikwa:
1)WAZAZI
2)MARAFIKI nikaingia kwa marafiki, ndani nikaona tena milango 2.
1)WA KIUME
2)WA KIKE
Nikaingia wakiume, ndani tena nikaona milango 2
1)WENYE ZAWADI
2)WASIO NA ZAWADI nikaingia wasio na zawadi,
Nilipoingia 2
nikajikuta niko nje, kugeuka nyuma nikaona maandishi makubwa.
"MARUFUKU KURUDI NDANI"
dah dunia hii imetoboka kama huna pesa uthaminiwi!!!
PAMBANA NA HALI YAKO MUNGU YU PAMOJA NAWE Usikate tamaa yote maisha tu. 🤣
 
Back
Top Bottom