Ushawahi kujiuliza hili?

Ushawahi kujiuliza hili?

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
Viumbe vyote vya kiume vimeumbwa kwa muonekano mzuri (Yaani wazuri kwa Mvuto) isipokuwa binadamu tu?angalia simba dume, Mbwa Dume, Njiwa Dume etc.

Hii ni hekima kubwa sana ya Mwenyezi Mungu, but binadamu uzuri umewekwa kwa wanawake, tena uzuri haswaaa.
tafakari zaidi ndugu
 
Wanyama hawana akili kama binadamu. Wameumbwa hivyo ili jike avutiwe na dume wazaliane. Ukija kwa binadamu uzuri sio kigezo pekee cha kumvutia mwenza, akili na ushawishi Kwa njia mbalimbali hutumika.
 
Ahsante Kaka
 
Umejibu vyema!
 
Mimi sijaelewa cha kujiuliza hapo, aliyepata anishirikishe nipate kujiuliza
 
Asilimia kubwa ya madem wana mvuto wakivaa nguo, wakiwa utupu hawavuti tofauti na sisi wanaume

Sisi bado tuna muonekano bora kuliko wao
Huwa wanatumia pia vitu vingi kupalilia muonekano tofauti na sisi
 
Back
Top Bottom