Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,080
- 1,452
Nifanye nini nipendwe
Hodi hodi wanakao,khabari zenyu wazima
Si fujo njo'ni kikao,sitaketi nasimama
Na'ndika kwenye kibao,mengi yananisakama
Nifanye nini nikundwe
Pesa ni nyengi natoa,hivi sababu ni yepi
Mapenzi tele uchao,bado ninatoka kapi
Kula yaumu vibao,n'juzeni nifanye kipi
Nifanyenini nikundwe
[emoji2398]Abuuabdillah [emoji1614]
Hodi hodi wanakao,khabari zenyu wazima
Si fujo njo'ni kikao,sitaketi nasimama
Na'ndika kwenye kibao,mengi yananisakama
Nifanye nini nikundwe
Pesa ni nyengi natoa,hivi sababu ni yepi
Mapenzi tele uchao,bado ninatoka kapi
Kula yaumu vibao,n'juzeni nifanye kipi
Nifanyenini nikundwe
[emoji2398]Abuuabdillah [emoji1614]