TYPIN ERRAH
Member
- Mar 9, 2013
- 43
- 24
Uchumba ni kipindi uchunguzi,matazamio juhusu mwenza umtakae kuwa mkeo wa baadae.....
UTARATIBU
Kijana katika kipindi hiki ni muhimu sana kufanya uchunguzi wa siri kabla ya kufanya uchunguzi wa wazi kivipi na kwa sababu gani? Unaweza ukafuatilia mwenendo wa msichana kwa siri bila yeye mwenye kujua maana yake unaweza kuwa kama mtu yeyote kwake bila yeye kuelewa wewe unataka nini kwake....lengo ni kuepuka tabia za kuigiza.......
BAADA YA HAPA....
Hapo nyuma tumeona kuwa umechunguza kwa usiri sasa jaribu kuonesha ukaribu wa dhahir bila kutamka au kumwambia kwa maneno kwamba unamuhitaji...hapa yeye ataanza kuhisi unamtaka lakini hana uhakika kumbe ww tayar una detail kadhaa ndo maaana unakuwa. Hivyo kwake....jenga mazoea na wtu wake wa karibu hasa zaidi ndugu zake kwa ajili ya hatua inayofuata.....
SASA BASI.......
Ushajenga mazoea kwake na ndugu zake muombe utumie muda fulani kwa ajili ya mazungumzo nae...hata kataa kwani tayar keshakuzoea na kama hatakwambia lakin moyoni anajua lengo lako nini....MWAMBIE UNAMUHITAJI AWE MKEO....EPUKA KUOMBA SEX.....HAPA UTAKOROGA ISIWE KIPAUMBELE HATA KATIKA. MAZUNGUMZO YENU.......
KISHA......
Kutana na mtu mkubwa wa kwao hususan babu bibi kakA au dada kumueleza dhamira yako naa mlivyokutana....hapa utasaidiwa taratibu za kwao ili harakati za kuoa zianze.....na wewe sasa urudi kwenu kuwaeleza kama umepata bint na unataka awe mke na hivyo wazazi wakutane kujadir hatma yenu ninyi wawili....
KATIKA KIPINDI HIKI....
Jenga mazoea ya kumtembelea kwa ajili ya kujadili baadhi ya mambo. Yanayowahusu...pindi mkiwa katika mazungumzo awepo mtu mzima eneo mlilopo si lazima awe karbu sana na nyie lengo ni kuepusha kukaribia zinaa au kuvunja. Amri ya sita.......
PIA......
Kumbuka kubeba zawadi mara kadhaa ukiwa wamtembelea zisiwe za kujikweza..........baadhi tabia tayari tayar mnajuana huyo ndyo atakuja kuwa mkeo wa kweli
ni makosa makubwa vijana kuishi kinyumba kabla ya kuoana.........usikuse mfululizo wa makala hiii
KWA MAONI NA USHAURI
0659616048/0625870179