Ndio maisha ya kibongo yalivyoDuuuuu, so wengi huigiza maisha tu
Ndio maisha ya kibongo yalivyo
Huo ndo utamaduni wetu
Wazungu hawaazimani nguo ila hilo la mageto lipoo
Ndio ukweli yaani wote wame fake
Africa is a dark continent. Case closed.
Kwa hiyo unapingana na ukweli mkuu.ila mi kwangu ndo siwezi kuruhusu hata rafiki yangu alete mwanamkeWhy africa?View attachment 963447
Naamanisha hiyo kitu kipo afrika,kwa upande wetu sisi wanaume tena ile age ya 20_26 huwa hiyo tabia imeshamiri,utasikia mwana naomba gheto lako leo kuna gashi nimeshampanga anataka kuja ,tatizo pa kumpeleka ndo sina,kwa kuwa ni mwana unampa ghetto.ila kwa upande wangu hapana siwezi kumruhusu rafiki yangu,nipo tayari kumpa ela aende gestiNi sawa mkuu,
Kila jambo huwa na sababu.
Kwani kwako hatupajui ss.
Ni sawa kabisa mkuuNaamanisha hiyo kitu kipo afrika,kwa upande wetu sisi wanaume tena ile age ya 20_26 huwa hiyo tabia imeshamiri,utasikia mwana naomba gheto lako leo kuna gashi nimeshampanga anataka kuja ,tatizo pa kumpeleka ndo sina,kwa kuwa ni mwana unampa ghetto.ila kwa upande wangu hapana siwezi kumruhusu rafiki yangu,nipo tayari kumpa ela aende gesti
Hata wewe mbona muigizaji mzuri tu wa maisha feki?Shida ndio hiyo hakuna mtu anapenda kuonyesha uhalisia wa maisha yake