Ni vigumu kuwatenganisha Mama na mtoto.Habari wakuu.
Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu.
Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
Habari wakuu.

😂😂😂 surrogatesNyote mmekosea, watoto wote ni mali ya serikali. Ndo maana mama au baba akimuua mwanae atashtakiwa. Ingekuwa mali ya wazazi wasingeshtakiwa...[emoji1][emoji1], nyote ni ma surrogate [emoji1][emoji125]
Fisi dume alishalitambua hilo ndo maana hana time na watoto hata wakishambuliwaHabari wakuu.
Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu.
Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] surrogates
mkuu umenifanya nikumbuke movie ya whhen the bough breaks,.
Itakuwa ww unaitwa Jina LA mama!!!!![emoji23] [emoji23]Habari wakuu.
Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu.
Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
Umepatwa na nini mzeeHabari wakuu.
Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu.
Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
Study zinaonyesha hivyo.Mwenye uhakika ni mama kwani amembeba tumboni mwake ! Wewe mwanaume una uhakika gani ? Siri ya baba wa mtoto anayo mama . Nashangaa baba unapewa jukumu la kuchagua jina la mtoto . Siku DNA ikitembezwa kuna kulia na kusaga meno !
Na hasa watoto wakianza kujiiingizia mapato, kina mama huwalisha sumu ili wawachukie kina baba, na kisha wao wafaidike.Kwakweli mama ndo mwamuzi wa mwisho kama mtoto akupende au akuchukie.
Mtoto akilishwa sumu na mama yake habari imeisha. [emoji41]
Bila shaka wewe ni mtoto wa single mother!Habari wakuu.
Kichwa cha habari kinajieleza, watoto wote ni mali ya akina mama, sie wakina baba tujaze mimba na tuudumie tu.
Ila , watoto wote ni mali ya akina mama.
Baada ya kuangalia sifa za viumbe wengi (na hasa wanyama), ndio nikaja kugundua hilo.Sijui umewaza nini. Kama kuna ambacho umekumbana nacho. Pole sana Mkuu.