Swali kwa wanaoamini hakuna mpenzi wa peke yako

Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
4,353
8,462
Za uhuru day wanajamii.

Kuna watu humu huwa wanaleta changamoto wanazokutana nazo kwenye mahusiano yao, sana sana naona malalamiko mengi ni kuhusu usaliti.
Sasa kuna wadau humu wanajifanya wao kama wana mioyo ya chuma majibu yao makubwa ni hamna demu au men wa peke yako, kushare ni lazima.

Sasa swali lako kwa hawa watu ni je nani amewahi kumfumania mpenzi wake akiwa anacheat na akamsamehe sababu anajua kuwa hawezi kuwa peke yake??.
Yani umemkuta msichana wako kawekwa kitu anaugulia then ukasema kuwa nilijua siko peke yako so haina shida .

Sababu naamini kama watu wanaona hivyo then mahusiano mengi yasingekua yanavunjika sababu ni kitu tunachoamini kuwa haupo peke yako sasa kwanini ukimkuta mwenzio anakunjwa unavunja mahusiano hayo??.
 
kama yupo ajifanye tu ananyoosha mkono juu yaan ajifanye tu anajikuna aone tutamswekelea ndani
 
Back
Top Bottom