"Kwa nini inakuwa hivi"

"Kwa nini inakuwa hivi"

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,209
Wakuu ,poleni kwa utafutaji,

Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo.

Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au hizi sehemu za kuuzia chakula kazini nikimaliza kula nikilipa ela lazima chenji izidi na siyo mara moja mara nyingi sana hii hali inanitokea,

Au pia nikipanda daladala mara konda atanipita tu bila kuniomba ela.pia ni mara nyingi sana.

Ila kwenye hizi sehemu za kula huwa nawarudishia ila kwa konda niseme tu ukweli nakaa kimya mara sisemi .

Nauliza swali nafanya makosa kurudisha ile ela kwa sehemu hizi za kula ? Au kwa konda pia niendelee kukaa kimya?
 
Hiyo ni offer ya kuzimu endelea kufurahia huduma, you gonna pay that shit!
 
Wakuu ,poleni kwa utafutaji,

Kwa najua humu siyo mahala pake ila kuna wasomaji wengi humu watanisaidia kwa hili jambo.

Nimekuwa na kawaida nikiwa nimeenda kula iwe kwa mamantilie,au hoteli,au hizi sehemu za kuuzia chakula kazini nikimaliza kula nikilipa ela lazima chenji izidi na siyo mara moja mara nyingi sana hii hali inanitokea,

Au pia nikipanda daladala mara konda atanipita tu bila kuniomba ela.pia ni mara nyingi sana.

Ila kwenye hizi sehemu za kula huwa nawarudishia ila kwa konda niseme tu ukweli nakaa kimya mara sisemi .

Nauliza swali nafanya makosa kurudisha ile ela kwa sehemu hizi za kula ? Au kwa konda pia niendelee kukaa kimya?
Popo bawa huyo anakutafuta mkuu, nicheki nikusaidie
 
Haya mambo ni ya kishetani zaidi. Yaliwahi nipata nikawa najiona mwenye bahati hasa madukani na mabasi au daradara.
Tena wakati huo nilikuwa mtu wa kusafiri tu.

Ni baada ya kwenda kutibiwa na mganga mmoja hivi akawa ananiambia atanipa nyota ya bahati.

Kweli yalikuwa yanatokea yote hayo ila tatizo langu lililonipeleka kwake hakulitibu jumla lilikuwa linajirudia rudia.

Nikafanya maamuzi ya kuwa upande wa Mungu tu.
Nilipoombewa na kuanza kusali na kufunga ndipo nikapona jumla jumla.

Ila hayo mambo yapo. Mm ilifikia hatua nikawa naogopa ila kwa upande wa nauli sikuwa naogopa. Maana hata konda alinipatia ticket bila kuchukua pesa.
Nilishangaa sana.

Umenikumbusha mbali mtoa mada.
 
Ni mitihani. Warudishie.

Ukiacha kuwarudishia utakuja kuzikosa nyingi nyingi unazofanyiwa mitihani.
 
Haya mambo ni ya kishetani zaidi. Yaliwahi nipata nikawa najiona mwenye bahati hasa madukani na mabasi au daradara.
Tena wakati huo nilikuwa mtu wa kusafiri tu.

Ni baada ya kwenda kutibiwa na mganga mmoja hivi akawa ananiambia atanipa nyota ya bahati.

Kweli yalikuwa yanatokea yote hayo ila tatizo langu lililonipeleka kwake hakulitibu jumla lilikuwa linajirudia rudia.

Nikafanya maamuzi ya kuwa upande wa Mungu tu.
Nilipoombewa na kuanza kusali na kufunga ndipo nikapona jumla jumla.

Ila hayo mambo yapo. Mm ilifikia hatua nikawa naogopa ila kwa upande wa nauli sikuwa naogopa. Maana hata konda alinipatia ticket bila kuchukua pesa.
Nilishangaa sana.

Umenikumbusha mbali mtoa mada.
Lakini mimi sijui hata njia ya kwenda kwa mganga,na sina imani kwenye uganga mkuu
 
Back
Top Bottom