Jukumu kuu la mwanamke ni kutii na kufuata muongoza chanya kwa mumewake

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
764
378
Mara nyingi hapa kunakuwa na Sintofahamu kubwa Sana, na pia ni wanawake Wachache Wanaoelewa Vizuri sehemu hii.

Jukumu la mwanaume kwa mkewe /Mpenzi wake ni Kumpenda na kumfanya awe Happy muda wote if Pocble wanaume wengi jukumu ili Wanalijua Sana.

But mwanamke jukumu lake kuu kwa Mumewe/Mume/mpenzi Wake ni utii na kufuata muongozo chanya toka kwa Mr.
sasa wanawake wanakosea wanataka kumpenda mwanaume na si Kumtii mwanaume wake.

Elimu Bure hii ifanyieni kazi dada zangu, wil See Positive Outcome
 
Uko sahihi mkuu, wanaume wanachohitaji kwa wanawake sio upendo bali ni heshima.

Na wanawake wanachohitaji kutoka kwa wanaume ni upend
 
Mara nyingi hapa kunakuwa na Sintofahamu kubwa Sana, na pia ni wanawake Wachache Wanaoelewa Vizuri sehemu hii.

Jukumu la mwanaume kwa mkewe /Mpenzi wake ni Kumpenda na kumfanya awe Happy muda wote if Pocble wanaume wengi jukumu ili Wanalijua Sana.

But mwanamke jukumu lake kuu kwa Mumewe/Mume/mpenzi Wake ni utii na kufuata muongozo chanya toka kwa Mr.
sasa wanawake wanakosea wanataka kumpenda mwanaume na si Kumtii mwanaume wake.

Elimu Bure hii ifanyieni kazi dada zangu, wil See Positive Outcome
Wasema kweli mkuu.
Ndivo hata bible inavofundisha na imeandikwa.

Wakifata hakutakuwa na maswala ya kuvunjika ndoa hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom