blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,269
- 1,148
Heri ya x-mass wakuu.
Najua mambo yanakwenda sawia kabisa majumbani.
Nijikite katika Title yangu. Wakuu sijawahi kuwa na bahati kabisa ya kuwatongoza mabinti ila nilikua na bahati ya kutongozwa na mabinti. Na nimekua nikiwatimizia haja zao kisawasawa.
Siri ya kuwafikisha mlimani ni Jogging ambayo kila siku nafanya (Kuzunguka Morogoro mjini yote)
Toka January nimekua nikijaribu kumtongoza Mrembo wa singida na hatimaye Leo amekubali kunipa wazfa. Ila amenambia hajawahi sex hivyo yeye ni Bikira!!! Na amepanga mpaka hapo mwakani atakapomaliza Elimu yake ndiyo nitaweza kuchimba dhahabu kwake!....
Sio kama natamba hapana ila nafuraha ya kupata mtoto ambaye ajaguswa,na hapendi ela Zangu.
x-mass njema!