Miadi Na Mwanamke siku ya kwanza

Miadi Na Mwanamke siku ya kwanza

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,102
Kuna zile kauli Ambazo sisi wanaume huwa zinatufanya tuchanganyikiwe kama "NIKO GETINI NJOO NIFUNGULIE"

"Nataka kuja ila Sina nauli" utasikia " We njoo chukua hata tax[emoji16][emoji16]

" Nakuja na bodaboda utalipa??? "[emoji3][emoji3][emoji3] "Mpe boda simu nimwelekeze"

Sasa Mbaya zaidi ni pale ukilipia Chumba Hotel halafu Mwanamke Aseme "Dia samahani Nimepata dharula tufanye wiki ijayo, halafu mda huo unageuka geuka kwenye kitanda cha hotel unahesabu dakika Mbona hafiki?? [emoji23][emoji23].

Wanawake sisi kwenu ni kama Mateka wa vita!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaa kwahy ukapiga nyeto na kurudsha ufunguo wa guest au ?
 
Kuna zile kauli Ambazo sisi wanaume huwa zinatufanya tuchanganyikiwe kama "NIKO GETINI NJOO NIFUNGULIE"

"Nataka kuja ila Sina nauli" utasikia " We njoo chukua hata tax[emoji16][emoji16]

" Nakuja na bodaboda utalipa??? "[emoji3][emoji3][emoji3] "Mpe boda simu nimwelekeze"

Sasa Mbaya zaidi ni pale ukilipia Chumba Hotel halafu Mwanamke Aseme "Dia samahani Nimepata dharula tufanye wiki ijayo, halafu mda huo unageuka geuka kwenye kitanda cha hotel unahesabu dakika Mbona hafiki?? [emoji23][emoji23].

Wanawake sisi kwenu ni kama Mateka wa vita!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi huwa namshika mkono tunaelekea wote mguu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikifika lodge huwa silipi kwanza, nacheki room yenye kiwango then namsikilizia mchuchu mpaka aje ndipo nalipa. Ujinga kwenye pesa ctak kabisa
 
Daaahhhh kweli kabisa sisi ni zaidi hata ya mateka.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom