Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Dadii wajua leo nina furaha......
Hisia zangu zakuita, uzidi kujaa moyoni...
Kwasababu ni wewe tuu, nimpendaye ni wewee tuu Dadii....
Penzi letu lidumu milele yote na lishamiri kwa namna ya pekee 2019 yote...
Moyo wangu ni wako, nimekukabidhi pekeyako...
Sababu ni weweee tuu ..... nikupendaye ni weewee tuu Dadiii....
Na wana MMU wote waitikie Aaaameeen!!!! (hata wenye wivu muitikie tuu maana ndo ishakuwa).
Asante Maua Sama na Ben Pol kwa kunirahisishia kunogesha Mahaba kwa Dadii.
Ati nimesema ninogeshe..... hehehhehehe
Ninogeshe ninogeshe Dadii ninogeshee.....
Dadii ni wewee, ubavu wangu mwenyewe....
Rahaaa, raha tupu kupendana na wewee rahaaa tupuu...
Unanipaga furaha (tabasamu la kweli)....
Love you more and more Dadii Mmmmuuuaaahhh!! 😉
Kasie Dadii Mahaba.