Habari zenu wana JF
Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka
Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa. Nakumbuka...
Hizi ni baadhi ya video zinazo trend kwasasa huko WhatsApp
Moja inaonyesha akikojoa kwenye chombo anachotumia kupikia, na video nyingine inaonyesha akiweka kimba kwenye mfuko uliobeba viungo vya...
Kuna Mtu kaniambia kuwa amini nisiamini 95% ya Mabinti waliofeli Kidato cha Nne kwa majibu yaliyotolewa rasmi wamesababishiwa na kuwa Kimahusiano na Wanaume wakubwa na ' Wadanganyifu ' sana (...
Ukitaka mpenzi hapa mjini mwishowe Ni wewe kuhudumia.Anaweza akawa anakaa kwao lakini Kuna mambo utafanya tayari itakuwa Ni huduma.mpenzi amekuomba buku au buku mbili utampa na vitu vidogo vidogo...
Wazazi wengi wamekuwa wakijiskia faraja na furaha pindi kijana wao wa kiume au wa kike anapooa au kuolewa misingi hii imeishi tangu enzi na enzi na imeambatana na mizizi ya kiroho yenye...
.....Kwamba sababu Kubwa ya Wazungu wengi Kuzaliwa na ' Akili ' au kuwa na ' Akili ' nyingi kunatokana na ile tabia yao kuwabeba Watoto Wao kwa mbele ( Vifuani ) huku wakiwa wanawaona tofauti na...
Wanajamvi habari za majukumu?
Nina mambo kadhaa yanayonisumbua akili yangu na kuninyima amani sana. Kwa wale wanaokumbuka tatizo nilopata la aliyekuwa mume wangu kumpa mimba mdogo wangu, hichi...
UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana...
Wakuu Kuna kasumba 1 tunayo vijana ama wanaume, kwa wale waliosoma hawataki kuoa waliosoma wenzao Maana mtiti wake kwenye ndoa sio wa nchi hii.
Nami bora nijitenge mapema kabla sijaingia mkenge...
Yaani asilimia kubwa ya wanaume wanakuwa hawataki wanawake ambao hawana kazi. Wengi watatulia na walio na ramani.
Yupo tayari kumvumilia dent alioko shule kuliko mwanamke asiye na kazi. Mara...
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana.
Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba...
Habari wakuu nina tatizo huwa likinipa shida sana hasa nikiwa matembezini akitokea mwanamke nyuma yangu nashindwa kumgeuzia shingo ,hata kama ni wakawaida au tunakaa nae mtaa mmoja,yaani nakosa...
Sijui wengine wanawezaje kuacha uzinzi, me nimejaribu bila mafanikio..
Tangu nasoma secondary nlikuwa siwezi hata kufanya mtihani bila kuwa na ahadi na msichana nadeki tu..tatizo limekuwa kubwa...
Bwana mmoja Ronald Mutaka ( 38 ) Raia wa nchini Uganda ameua kutoendelea Kuvumilia maumivu ya Kutukuka aliyonayo baada ya Kujigundua kuwa Yeye ni Mgumba ( hawezi Kuzalisha / Mgongesha Besela ) na...
Habari za jioni wa jf,kwakweli wengi mmetoa ushauri wenu japo wengine mmetumia maneno makali pamoja na yote ujumbe umefika,Asanten wote mlioguswa Mungu awabariki nawapenda.
kiukweli leo nimeitumia...
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.
Mwanaume unashindwa...