Hakika mapenzi ni hisia

Hakika mapenzi ni hisia

John_Bravo

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
175
Reaction score
384
Ukistaajabu ya Musa !! Pichani kijana huyo mtu mzima toka Japani kwa jina la Yuta alikuwa kwenye penzi zito na Mende aliyemshika wakiishi Kama mke na mume.

Mende huyo anadai alimnunua kutoka Africa na kumbatiza jina la Lisa mahaba Yao yalikuwa gumzo ambapo alikuwa akipeana nae penzi ndotoni kwakuwa maumbile Yao hayaendani size. So kuna Wakati yeye alikuwa anavuta picha amegeuka Mende wa kiume au mwanadada huyo Mende kumvutia picha kageuka binadamu nakupeana mahaba ya sita kwa Sita
Amesema mvuto wa mwanadada huyo Mende ni mkubwa kuliko kinadada binadamu.

Hata hivyo jamaa huyo alipata sononeko kubwa la moyo baada ya Mende huyo mpenzi wake kwa jina la Lisa kuaga dunia baada ya mwaka mmoja wa penzi Lao
Sababu ya kilichomuua mwandani wake huyo inatajwa kuwa wastani wa maisha ya Mende kuishi ni mwaka mmoja. akifunguka kwenye interview amesema ameamua kumla Kama msosi Mende huyo baada ya kifo chake Ili aendelee kuishi mwilini mwake kupunguza machungu ya kuwa mjane wa kiume akiwa bado kijana .

Tayari amejipatia umaarufu nchini mwake kwa lifestyle yake hiyo ambapo pia ni mpishi mzuri wa wadudu mbali mbali.
Screenshot_2019-01-30-20-32-22.jpeg


#Muungwana_John
 
Ukistaajabu ya Musa !! Pichani kijana huyo mtu mzima toka Japani kwa jina la Yuta alikuwa kwenye penzi zito na Mende aliyemshika wakiishi Kama mke na mume.

Mende huyo anadai alimnunua kutoka Africa na kumbatiza jina la Lisa mahaba Yao yalikuwa gumzo ambapo alikuwa akipeana nae penzi ndotoni kwakuwa maumbile Yao hayaendani size. So kuna Wakati yeye alikuwa anavuta picha amegeuka Mende wa kiume au mwanadada huyo Mende kumvutia picha kageuka binadamu nakupeana mahaba ya sita kwa Sita
Amesema mvuto wa mwanadada huyo Mende ni mkubwa kuliko kinadada binadamu.

Hata hivyo jamaa huyo alipata sononeko kubwa la moyo baada ya Mende huyo mpenzi wake kwa jina la Lisa kuaga dunia baada ya mwaka mmoja wa penzi Lao
Sababu ya kilichomuua mwandani wake huyo inatajwa kuwa wastani wa maisha ya Mende kuishi ni mwaka mmoja. akifunguka kwenye interview amesema ameamua kumla Kama msosi Mende huyo baada ya kifo chake Ili aendelee kuishi mwilini mwake kupunguza machungu ya kuwa mjane wa kiume akiwa bado kijana .

Tayari amejipatia umaarufu nchini mwake kwa lifestyle yake hiyo ambapo pia ni mpishi mzuri wa wadudu mbali mbali.View attachment 1008914

#Muungwana_John
Crazy feelings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom