Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,782
- 20,059
Kwenye majukumu kuna kipindi unaingia field hata miezi miwili mitatu haujarudi nyumbani. Ukanda wa kilimo cha pamba mahususi mtanielewa zaidi.
Juzi amekuja binti na mimba kubwa kabisa ya kujifungua. Kaja kufuata majina ya mtoto akiwa wa kike au wa kiume na majina yangu.
Nikicheki kipindi namrukia mpaka sasa ni sahihi kabisa na niliishi kwao. Mzee wake ni Mwenyekiti wa kijiji na wanajiweza tu kwa life la kijijini. Lakini kwanini hakuniambia mpaka imefika hatua ya kukaribia kujifungua?