Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 122
- 280
Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Boda wakianza kumtafuna uje pia hapa kuleta mrejeshoHata saiv nipo hapa shop naandaa zawadi ya kumpelekea mke wangu
Ukichapiwa pia uje utoe ushuhudaAnanipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Ukweli ukimpenda mwanamke huwezi chepuka.Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Huyu muelewa sana atagundua mwenyeweHuyu tumwambie au tumuache kwanza?
Kwa mujibu wa nani?Ukweli ukimpenda mwanamke huwezi chepuka.
Bundi umetua. Aisee.Mta achana tu
Jackiiiiiey 😂😂😂🙌🏾Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Pattern hazipo sawa, nazungumzia mie na mleta mda 😅Kwa mujibu wa nani?
Source pliz,tufahamishane!
Weka picha yake ili tujue tunakuonea wivu kweli au tunapoteza mda tuMbn mnanionea wivu wakuu