Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasaalamu wakubwa na wadogo, Mimi sio mtu wa story sana hivyo moja kwa moja niende kwenye mada... Je ni wakati gani uliosahihi kwa kijana wa kiune kuvuta jiko ? Ningependa kujua kuhusu.. 1.umri...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
She died at the age of 104, and she spent 82 years in marriage, and she said this. "I know that young ladies will never agree with me, but whoever will implement this shall be the happiest of all...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
VIDEO: Mbunge Bonnah ‘Kaluwa’ akiri ndoa yake kuvunjika VIDEO: Mbunge Bonnah ‘Kaluwa’ akiri ndoa yake kuvunjika Mbunge wa Segerea (CCM) aeleza kilichotokea mpaka kumfanya kubadilisha majina...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Tuliowahi kufanya mapenzi bila kufika kileleni(kukojoa mkojo mtamu) tukutane hapa? Binafsi ilikuwa siku nina kesi polisi ya kukutwa na Dent alafu kuna demu flani hivi akawa anakazania nimpe...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nilishaapa kutokuwa na mahusiano na single mother yeyote yule hapa duniani kwa sababu zifuatazo:- Kwanza huwa na- imagine kama kwa mabinti tu wa hapa mtaani washagegedwa mno lkn hawajazaa je huyu...
3 Reactions
103 Replies
7K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Nilikutana na mdada mmoja fb ambae anakaa G/mboto wakati namtokea mwanzo alikua ananizungusha sasa nikaona nitakuja kumkosa kwa uzembe wangu usio na faida...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hii ni miongoni mwa changamoto inayonikabili hapa nilipopanga. Ni hivi miongoni mwa wapangaji wenzangu yupo jamaa mmoja ana mke na mtoto mmoja lakin jamaa mara nyingi hayupo maana...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikiwavumilia sana na hizi poda zao, yaani unakuta mdada kapaka poda mpaka unashangaa huyu hakuwa na kioo ajione alivotoka? Yaani hana hata urafiki na majirani angalau...
6 Reactions
148 Replies
20K Views
Nimekua mwenye mahusiano na binti mmoja kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Yeye anadini tofauti na yangu. Suala hili la dini limekuwa changamoto kwa sababu yeye hataki kubadili dini kunifuata na mimi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbr...cm yangu imeanguka haijapasuka kioo ila kinaonyesha mstari mistar midogo midogo pia kimefifia je niifanyaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
1. CHOKOCHOKO Wanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
FAIDA 7 ZA KULALA UCHI 1. Kupata usingizi wa kutosha; Ukilala bila nguo kabisa mwili wako unakua huru sana, nguo hua na tabia ya kukubana sana na kukunyima usingizi wa kutosha kitu ambacho wewe...
9 Reactions
105 Replies
35K Views
Wahuni sio watu wazur. Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu habarini za muda natumai wazima sana.nimeona leo tujumuike wote kuhusiana na suala la watoto wadogo kulawitiwa wa kike ama wa kiume.jamani hili suala ni pana na gumu mnoo linataka tafakkuri...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Maumivu ya mapenzi Ni Kama kifo TU lazima uyapitie.achilia mbali mwanamke ambaye unaishi naye Kama mke Ila hata Malaya ambaye unamgonga for show ukimuona anatoka na mwanaume mwingine lazima TU iku...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar zenu wana Jf, kma kichwa kinavosoma Leo nikiwa katika harakat zangu za maisha ghafla ikatokea mada ambyo tulibishana sana kwamba kufanya mapenz ni lazma peniss ikutane na vagna. Je ni kwel...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hawa viumbe haijawahi kutokea wakaeleweka.kwa hiyo usiwazingatie sana ishi nao Kama vile hawapo.kwa mfano akikwambia atakuja saa 11.we endelea kufanya Mambo yako usimzingatie akija sawa asipokuja...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Sijui Kama heading nimeiweka vizuri ila naamini mtanielewa tu. Kuna ushauri hutolewa na wazazi, ama walezi, na pia Viongozi wa Dini, kuwakataza Vijana wa kike na kiume kuwa na "URAFIKI"( yaani...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Shepu, msambwanda, miguu, sura, viuno, kauli, adabu, mapishi, usafi, hofu ya Mungu, uadilifu, tabia njema, utulifu, unadhifu au nini hasa? Mwanamke aweje ili mumewe asichepuke? Ni utamu gani hasa...
15 Reactions
206 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…