Bidada mashallahu

Bidada mashallahu

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,298
VIDEO: Mbunge Bonnah ‘Kaluwa’ akiri ndoa yake kuvunjika

VIDEO: Mbunge Bonnah ‘Kaluwa’ akiri ndoa yake kuvunjika

Mbunge wa Segerea (CCM) aeleza kilichotokea mpaka kumfanya kubadilisha majina

karuhapic.jpg

BY Mwandishi wetu, Mwananchi
IN SUMMARY
Mbunge wa Segerea (CCM) aeleza kilichotokea mpaka kumfanya kubadilisha majina

Dar es Salaam. Mbunge wa Segerea (CCM) jijini Dar es Salaam aliyekuwa akitumia jina la Bonnah Kaluwa amekiri kuachana na mume wake Moses Kaluwa na hivyo kulazimika kubadili majina.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Februari 26,2019 mbunge huyo wa CCM ambaye kwa sasa anatumia jina la Bonnah Kamoli, amesema amebadilisha majina yake katika mitandao ya jamii.
Hata hivyo, tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutumia majina yake ya a wali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa.’
“Taarifa ni za kweli tumeachana,” amesema Bonnah kwa njia ya simu.
Alipoulizwa sababu ya kufikia hatua hiyo, Bonnah amesema, “Ni matatizo ya kifamilia.”
“Nimeshaweka majina yangu kwenye mitandao ya kijamii. Nimeweka Instagram, Facebook. Bunge wana taratibu zao, si wamepata barua? Mimi nimepata yangu nimebadilisha,” amesema.
Kampuni ya uwakili ya Carmel Attorney inayomsimamia aliyekuwa mume imethibitisha kumwandikia barua na nyingine kupeleka Bungeni kumzuia kutumia jina la Kaluwa.
Mmoja wa mawakili wa kampuni hiyo ambaye hakutaka jina liandikwe gazetini amesema suala hilo lilitokea tangu Novemba 2018, lakini bado hawajafuatilia kama agizo lao limetekelezwa.
“Ni kweli huyo ni mteja wetu alikuja hapa tukaandika barua na kupeleka Bungeni na nyingine kwa Bonnah. Bado hatujafuatilia kwa sababu mteja wetu hajaja tena kulalamika,” amesema Wakili huyo.
Hata hivyo, amesema suala hilo ni la siku nyingi na hawakutaka kuliweka wazi ili kulinda heshima ya Bonnah ambaye ni Mbunge.
“Hayo mambo ni ya siku nyingi, mteja wetu alitaka tusitoe hadharani ili kulinda hadhi ya Mbunge. Sasa inawezekana yeye mwenyewe ndiyo anayasambaza. Wameshapeana talaka siyo kwamba kuna dalili za usuluhishi,” alisema.
 
''Forgiveness is a GOLDEN key that unlocks the handcuffs of hatred and open the door of resentment, It is a power that breaks the chains of bitterness and the shackles of selfishness'' John Hagee.
 
yaani huko dodoma mavikao kila siku uwe na mke cute hivi kuna mda atashindwa kukwepa mishale tuuu,,,hapo centre wadada na wamama wa lile jengo wanaliwa sana
 
Sifahamh chanzo kikubwa cha ndoa hii kuvunjika. Ika nasema tu katika sehemu ambazo siyo salama kwa mwanamke aliyeolewa kuwepo, basi ni kule Dodoma sehemu inayoitwa Bungeni. Wanawake huwa hawasemi tu, lakini ukweli ni kwamba IT'S JUST SCARY ambacho vigogo wanawafanyia wake za watu kule Dodoma. JUST CRAZY,.....
 
Huyu mshangazi kama sio mhaya, sijui. Ana figa ya hatari. Hapa aliyepoteza ni mme wake haya yote ya sijui usitumie jina langu ni mahasira yake mwenyewe. Kama alikuwa haudumii hiki kifaa kitandani ipasavyo ana haki ya kumegewa.
 
Huo ndiyo ukweli,kifaa kama hiki kinahitaji huduma mbili muhimu sana,Fedha (sio za mawazo) na Dushelele la kufa mtu vinginevyo tutakataza wasijiite majina yoooote.Hivi kwani KALUA ana Trademark nalo??
 
Ndoa zinavunjika sana Mkuu hata kwenye hili wimbi la Wafanyakazi wa Serikali kuhamia Dom iwe anayehama ni KE/ME

Sifahamh chanzo kikubwa cha ndoa hii kuvunjika. Ika nasema tu katika sehemu ambazo siyo salama kwa mwanamke aliyeolewa kuwepo, basi ni kule Dodoma sehemu inayoitwa Bungeni. Wanawake huwa hawasemi tu, lakini ukweli ni kwamba IT'S JUST SCARY ambacho vigogo wanawafanyia wake za watu kule Dodoma. JUST CRAZY,.....
 
Ndoa zinavunjika sana Mkuu hata kwenye hili wimbi la Wafanyakazi wa Serikali kuhamia Dom iwe anayehama ni KE/ME
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.
 
Tayari kuna ndoa ziko juu ya mawe na KE/ME wanaotakiwa kuhamia huko miezi ya karibuni wana hofu kubwa mbaya zaidi kuna watoto kwenye ndoa hizo.

Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.
 
Mi naona kama vile ndoa itabaki kuwa kama fashion flani una test kidgo una sepa kuchc life lingine. Viapo watu wana kula kanisani vya kuishi wote mpka kufa havina maana tena kwa miaka ya sasa tuna chukulia pooowah t.
 
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.

Tatizo hawa dada zetu hata kama ana uwezo kiasi gani, huwa siku zote wanatengeneza mazingira ya kupewa favor mbeleni, hawajiamini, kwa hiyo atakupa kitu ili baadae akihitaji kitu umpe.
Kuna wadada very competent Ila wanavyojirahisi hadi unashindwa kuelewa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yaani huko dodoma mavikao kila siku uwe na mke cute hivi kuna mda atashindwa kukwepa mishale tuuu,,,hapo centre wadada na wamama wa lile jengo wanaliwa sana
Sio na kila mtu lakini,ni kwa wale tu wenye access kama vile slowslow,kibajaji,msukuma and co.
 
Back
Top Bottom