Kuna wanaume wenzetu Wana roho ngumu kinoma

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,573
2,000
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu "oya me hapo napiga tu napita nakuachia mwanamke wako".moyo uliuma Sana nilitamani kuwe na kisu karibu nimchome mtu au nijichome hata mimi.nilidhani jamaa angenipa ushirikiano tujadili hili swala jamaa ndo kanimaliza kabisa.ebu fikiria demu nampenda Sana akidai Ana njaa fasta nampelekea chips namtumia hela halafu anaenda kugawa mzigo kwa mwingine.
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,496
2,000
Sijaona mahali popote kama unaomba ushauri au umeleta taarifa tu hapa JF kwa wananzengo ambao wengi wetu hatukujuhi. Hata sielewi unataka nini au usaidiweje!
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
923
1,000
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu "oya me hapo napiga tu napita nakuachia mwanamke wako".moyo uliuma Sana nilitamani kuwe na kisu karibu nimchome mtu au nijichome hata mimi.nilidhani jamaa angenipa ushirikiano tujadili hili swala jamaa ndo kanimaliza kabisa.ebu fikiria demu nampenda Sana akidai Ana njaa fasta nampelekea chips namtumia hela halafu anaenda kugawa mzigo kwa mwingine.
Wewe endelea kung'ang'ania kama kupe.
 
MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,819
2,000
Mkuu nawe tafuta mnyonge mgongee ukibaki unalia lia na hawa wadudu watakuliza kila siku aisee. Shauri yako.

Na hiyo ndio shida ya kuwa na mwanamke mmoja unakuaje na mwanamke mmoja usawa huu, inaonesha mashine haiko vizuri kabisa aisee.

Hawa wadudu hutakiwi kuwa na mmoja ndugu. Ohoooooo.
 
Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,415
2,000
Nani alikutuma umiliki kiba100!?
Ndio kilichokuponza
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu "oya me hapo napiga tu napita nakuachia mwanamke wako".moyo uliuma Sana nilitamani kuwe na kisu karibu nimchome mtu au nijichome hata mimi.nilidhani jamaa angenipa ushirikiano tujadili hili swala jamaa ndo kanimaliza kabisa.ebu fikiria demu nampenda Sana akidai Ana njaa fasta nampelekea chips namtumia hela halafu anaenda kugawa mzigo kwa mwingine.

Sent by Diaspora
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom