Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,871
Nilishaapa kutokuwa na mahusiano na single mother yeyote yule hapa duniani kwa sababu zifuatazo:-
Kwanza huwa na- imagine kama kwa mabinti tu wa hapa mtaani washagegedwa mno lkn hawajazaa je huyu alie alizalishwa, kashagegedwa mara ngapi

Hua nina kinyaa sana kwa mwanamke ambae alisha zaa maana huwa navuta taswira jinsi mandhari ya pampuchi yanavyoharibikaga + kutanuka wakati wa kujifungua asee hua inanitia kichechefu chefu mno

!!(kama ni mke wangu ni sawa maana hizo ni juhudi zangu)
Kuishi na mwanamke alie zalishwa huwa najiona kama mwanaume mwenye mapunguf yaan nilelee watoto wa mwanaume mwenzangu ilihali mimi hata mimba ya kusingiziwa sina!!

Kingine huwa nawaza ndugu jamaa na marafiki watanichulia kama mimi ni domo zege la kwenda kung'ang'ania kitu used wakati kuna watoto wabichi kabisa. kwa iyo sina confidence ya kuvifuata..
Haya ni baadhi ya mambo ambayo huwa yananipa ualakini wa kuwa/kuishi na single mother.. Japo kuna mengine mengi..
Sasa jamani kama nilivyowahi kutoa mada huko nyuma ya kumhusu mdada kwa jina NANCY anaefaa kwa macho yaan ni mwanamke aliejengwa akajengeka. Sasa mapenzi yetu yamezidi kushika hatamu hadi kufkia hatua ya kuanza kutambulisha kwa baadhi ya watu wakaribu
Ila sasa wakuu kilicho nichanganya zaidi ni leo mapema asubuhi kanipigia simu akaniuliza B, upo job nikamwambia nipo, ghafla kafka na vitoto viwili vya kike kanitambulisha kwa kuniambia hawa in watoto wangu wa kuzaa mwenyewe mmoja anaitwa Anet ana mwaka mmoja na nusu na mwingine Juliet miaka5. akamalizia kwa kusema msalimieni baba yenu huyu. Kisha kunielezea kuwa kama nampenda yeye basi niwapendw na wanae(ukipenda boga
)
Mpaka sasa nipo njia panda maana nishaapa kutoishi wala kuwa na mapenzi na single mother. maana kama watoto wabichi yaan mtaani wamejaa kibao sana sasa iweje niishi nae kizembe hivi..
Kiuhalisia nilikuwa nishaanza kumpenda but kwa hili naona nimekwama na naitaji msaada wenu wa mawazo maana kwa upande mwingine siwezi wala kujihusisha kimapenzi na mtu ambae mimi nipo 0 yeye keshafunga goli mbili teyari..

Ushauri tafadhari wana jamvi wenzangu nifanye nini ndugu yenu?
Kwanza huwa na- imagine kama kwa mabinti tu wa hapa mtaani washagegedwa mno lkn hawajazaa je huyu alie alizalishwa, kashagegedwa mara ngapi

Hua nina kinyaa sana kwa mwanamke ambae alisha zaa maana huwa navuta taswira jinsi mandhari ya pampuchi yanavyoharibikaga + kutanuka wakati wa kujifungua asee hua inanitia kichechefu chefu mno

!!(kama ni mke wangu ni sawa maana hizo ni juhudi zangu)Kuishi na mwanamke alie zalishwa huwa najiona kama mwanaume mwenye mapunguf yaan nilelee watoto wa mwanaume mwenzangu ilihali mimi hata mimba ya kusingiziwa sina!!

Kingine huwa nawaza ndugu jamaa na marafiki watanichulia kama mimi ni domo zege la kwenda kung'ang'ania kitu used wakati kuna watoto wabichi kabisa. kwa iyo sina confidence ya kuvifuata..
Haya ni baadhi ya mambo ambayo huwa yananipa ualakini wa kuwa/kuishi na single mother.. Japo kuna mengine mengi..
Sasa jamani kama nilivyowahi kutoa mada huko nyuma ya kumhusu mdada kwa jina NANCY anaefaa kwa macho yaan ni mwanamke aliejengwa akajengeka. Sasa mapenzi yetu yamezidi kushika hatamu hadi kufkia hatua ya kuanza kutambulisha kwa baadhi ya watu wakaribu
Ila sasa wakuu kilicho nichanganya zaidi ni leo mapema asubuhi kanipigia simu akaniuliza B, upo job nikamwambia nipo, ghafla kafka na vitoto viwili vya kike kanitambulisha kwa kuniambia hawa in watoto wangu wa kuzaa mwenyewe mmoja anaitwa Anet ana mwaka mmoja na nusu na mwingine Juliet miaka5. akamalizia kwa kusema msalimieni baba yenu huyu. Kisha kunielezea kuwa kama nampenda yeye basi niwapendw na wanae(ukipenda boga

)Mpaka sasa nipo njia panda maana nishaapa kutoishi wala kuwa na mapenzi na single mother. maana kama watoto wabichi yaan mtaani wamejaa kibao sana sasa iweje niishi nae kizembe hivi..