Na ubahili wangu lakini kwa huyu dada nilizama mfukoni

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..

Nilikutana na mdada mmoja fb ambae anakaa G/mboto wakati namtokea mwanzo alikua ananizungusha sasa nikaona nitakuja kumkosa kwa uzembe wangu usio na faida ikabidi nibadilishe gia angani.
Niliamua kupiga nae stori za hapa na pale mpaka nikamwambia sector yangu ninayofanyia kazi. Basi akaanza kunidadisi mpaka nikagundua kumbe ndani ya kazi yangu boss wangu ni mjomba wake (Alinitajia jina ndo nikamjua).

Sasa kilichonifurahisha kwa yule mdada ni kile kitendo cha yeye kupanga tukutane sehemu fulani akaja, lakini kabla hajafika nikaona anachelewa nikamwambia apande gari nyingine aje sehemu nyingine. Napo nikaona anachelewa nikasogea sehemu nyingine napo ikabidi abadilishe dala dala anifate... Kumbuka safari zote hizo hakunambia hata neno moja la kwamba nimtumie nauli alikua anatumia nauli yake.. Sipati picha ningekutana na mwengine asingekuja kisa nauli.

Siwezi kujua kama alikopa au alikua nayo lakini kilichonifurahisha ni kutokuniomba nauli, basi baada ya game ilimpa pesa ambayo hakuamini kwamba ningempa. Sasa mwezi uliopita nilimtania njoo Zenji lakini sina nauli ya kukupa, aki alipanda boti akaja kwa huyo mjomba wake ili tuonane lakini mpaka naandika hivi hatujawahi kuonana ana mwezi wa pili.
Najaribu kumkwepa ili mapenzi yasije kunoga nikaja kumpa mimba nikapata tabu.

Point yangu ni kwamba, kwa wewe dada ukiwa na ahadi na mwanaume sio kwamba hana nauli ya kukupa bali anakupima imani yako, lakini kwa wadada wa leo haji mpaka umtumie nauli ya daladala.

Mushindwe na mulegee madem wote mnaoomba nauli ya jero.

Sent using Huawei P20 Lite
 
Ulegee na ubahili wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa kizanzibar mpo slow sana,mwezi wa pili huu mtu kakufuata hujaonana naye?

Ndio maana kuna kipindi nilikua Zanzibar niliwasaidia sana kuwatafuna dada zenu maana kazi hamziwezi!
 
Wanawake sio kwa kuomba hela/nauli sasa mimi nikipata ambao hawaombi hela hua najiuliza atakuwa anataka nini?
 
Back
Top Bottom