Wanawake wanaishi katika misingi ya uongo uongo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,796
Reaction score
60,628
Hawa viumbe haijawahi kutokea wakaeleweka.kwa hiyo usiwazingatie sana ishi nao Kama vile hawapo.kwa mfano akikwambia atakuja saa 11.we endelea kufanya Mambo yako usimzingatie akija sawa asipokuja sawa.wana maajabu sana anaweza akaja mpaka gheto kwa nje kabla hajaingia ndani akapigiwa simu na mtu wake mwingine akakupotezea ww aliyekufuata akamfuata huyo mwingine.kwa sababu wanaishi kwa misingi ya Bibi zao eva na Delilah.. Eva alidanganywa na nyoka na Delilah alimdanganya samson.kibaya zaidi ukimwambia ukweli hataki anataka umdanganye.
 
Ni kweli never take a woman serious....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wako hivi
1.hawajawahi kuwa na upendo na mwanamme
2,ukiona anakwambia kakuzimia,jua kuna kitu amekiona mbeleni atakuja faidika nacho.
3,akiona hakipo kama vile kazi umefukuzwa,biashara imefilisika jua hamuwezi kuendelea na mahusiano.
4.ishi nao kwa kuviziana tu.usijiachie kwa saaana hata kama mkeo,na yeye kamwe hawezi kujimaliza mbele yako hata siku moja.
5,usiwekeze kwao.
 
1,2,3 sio kweli
 
Na huo ndiyo ukweli wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom