Ni lazma side A na B zikutane???

Ni lazma side A na B zikutane???

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Habar zenu wana Jf, kma kichwa kinavosoma Leo nikiwa katika harakat zangu za maisha ghafla ikatokea mada ambyo tulibishana sana kwamba kufanya mapenz ni lazma peniss ikutane na vagna. Je ni kwel hvo vitu vikutane ndo tuseme watu wamefanya mapenzi???
 
Kwanza Weee unaelewa nini juu ya kufanya mapenz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo unayoyazungumzia wewe ndo yale wanasema ukimtamani tu mwanamke ushazini nae...mi naamini kufanya mapenzi ni lazma kikojoleo kimoja kikafukue fukue kikojoleo kingine mpaka mkome
 
Back
Top Bottom