Wanaume nao wanadai wanawake ni wapiga mzinga tu sikuhizi mpenz ya kweli hakuna

Braitfyucha

Senior Member
Feb 22, 2019
163
187
Habarini za muda huu wanajf,,
kuna kitu kinanitatiza sana hasa katka ulimwengu huu wa sasa ambapo tunaona hali inazidi kuwa mbaya tu kila kukicha,tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika wanawake wadai wananyanyasika katika ndoa,,
vijana wamekata tamaa
boyz wanawalaumu wadada kuwa hawapendeki
girls nao wanawalaumu boyz kuwa waongo katka mahusiano

"Wanaume wote ni wa baba mmoja"
hiyo ni kauli ya msichana aliyoitamka kw hasira baada ya kugundua kuwa lijamaa limewachanganya wote yaani limemgonga yeye alaf likamtongoza na rafiki yake akaingia laini likachapa

"Mwanamke ni sawa na mbwa mkali ukimpa kipande cha nyama lazima atulie"
Hiyo ni kauli ya kijana aliepora demu kwa mwanaume fulani ambae aliwafumania sehemu wakipeana mahaba motomoto
japo huyu kijana aliesalitiwa hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku huyo mpenz wake atakuja kubadilika maana alimuamini sana

SASA NAJIULIZA NINI KIMEPELEKEA HALI KUWA TETE HIVI??

coz wadada wanaulamu kuwa wanaume wote ni waongo

wanaume nao wanadai wanawake ni wapiga mzinga tu sikuhizi mpenz ya kweli hakuna.

sasa nani alaumiwe???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom