Uzi maalum kwa sisi mabachelor

Uzi maalum kwa sisi mabachelor

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Miaka hii ya karibuni vijana wengi tunaishia kuzalisha dada zetu na kukimbia, vijana wengi saiv hatutataki kusikia kuhusu ndoa kabisa.

Sasa uzi huu ni maalum kwa sisi mabachelor ambao hatujaoa kupata moja mbili huku tukigonga glass tuambiane kwann wewe bachelor?

Karibuni jaman uwanja wenu

NB: kama upo kwa ndoa uzi huu haukuhusu kabisa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom