Madingi mnakuja kuwaje?

Madingi mnakuja kuwaje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,945
Reaction score
61,089
imagine unavomuogopa mzee wako nyumbani kumbe Kuna ka demu fulan chembamba chembamba kapo huko nje kana mtumia meseji faza kanamwambia "babe acha ujinga bax,2ma hio hela"
 
Mwanangu we wa kunianika huku ,futa hii kabla sijakulaani na ole wako umwambie mama yako ,mjinga mmoja
 
imagine unavomuogopa mzee wako nyumbani kumbe Kuna ka demu fulan chembamba chembamba kapo huko nje kana mtumia meseji faza kanamwambia "babe acha ujinga bax,2ma hio hela"
Wewe mtu akili zako zinakutosha mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom