kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Mimi ni mbahili mno yani mpaka mwenyewe najishanga hii tabia nimerithi kutoka wapi yani hata mke akiniomba hela hapati mpaka nimsimange vya kutosha na hatapata kwa wakati hata kama jambo lenyewe ni la muhimu na haraka.
Nimeachwa na wasichana kibao warembo kwa tabia yangu hii ya kuto kutoa hela yan tunaweza tukawa katika mahusiano kwa kipindi fulani lakini kosa ukishaanza kuniomba hela ndo mahusiano yenyewe yanaishia hapohapo.
Alafu pesa zenyewe wanazoniombaga wala siyo kiivyo yani utakuta labda elfu kumi au elfu ishirini na wananiomba wakiwaga na shida na sio kila siku lakini siwapi nachofanya naanza kujinunisha tu mwishowe nakata mawasiliano kabisa.
Wanabaki kuwa maadui zangu tu lakini wakikaa baada ya muda wananikumbuka tena ila kosa wakiniomba tu hela mziki unarudi tena,
kifupi najiona nina roho mbaya sana na siyo kwamba sina hizo pesa but najikuta tu niko hivyo.
Naomba wadau mnishahuri na tabia hii ya kishetani niiache.
Naomba kuwasilisha.