Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Always huwa tunapenda sisi ndio tuwe tunawagonga mademu wa wenzetu sio wa kwetu kugongewa, Binafsi huwa naumia ata nikikuta mpenzi wangu kasave jina la boy mwingine Kwa phone yake ata kama hana...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada. Ukifuatilia kwa sasa hali imekuwa tete sana hasa kwa dada zetu. Wanazisaka ndoa kwa fujo wengi wamechanganyikiwa sababu umri unaenda, anazidi kuzeeka hata...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Baada ya kupiga nao stori kwa muda, nikaamua kuwauliza swali la kichokozi, na ikawa hivi:- Mwalimu Msemakweli: Nani maishani mwake anatamani angezaliwa mwanaume? Wasichana Form One: Kati ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anaitwa Ustaadhi Hassan Thabit a.k.a Mgonga Bure. Naomba tuifanyie Kazi hiyo a.k.a yake tafadhali ili tuweze kuona ana Kipaji gani ambacho kina umuhimu wake katika Jamii yetu na labda Wanadamu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasaalam members wote humu...rejea tangazo langu hapo juu.. baada kutafuta mwanamke mwaminifu na mcha mungu kwa muda mrefu na hatimaye imeshindikana kumpata kwa kizazi cha sasa..baada ya wengi...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Salam kwenu wanajamvi; Wakati nikiwa mdogo nilisikia msemo mmoja unasema ''Maisha ni Kuishi na kujifunza'' hii kauli imekaa kichwani kwangu hadi leo hii na nimethibitisha kuwa tunaisha na...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
ni muda kiasi gani umewai kukaa bila kufanya tendo tangu ukiwa umebarehe? je kuna faida zozote za kiafya ambazo umeziona kutokana na kutojihusisha katika sex? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanamke aliyejichubua? Kaaa mbali naye kabisa.... Yaani huyo hata huhitaji kuuliza uliza ....ni kilaza ,hana uelewa hana akili. Hafai kaa naye mbali ndugu yangu. Mwanamke ambaye amejichubua hata...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuh, Niende moja kwa moja kwenye mada.. Leo asubuh nilikuwa zangu kwenye mwendokasi mm nakaa kimara....kama unavyojua huu usafiri wa mwendokasi watu wanavyobanana lkn kila...
11 Reactions
76 Replies
11K Views
Aman iwe juu yenu Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Seleleka nayo kama una sababu zingine ongeza kama una kosoa kosoa LONDON BOY Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau mambo zenu? Wanaume wa mitandaoni baadhi wanaona wadada kama sisi tusio na mahusiano ya kimapenzi na mtu basi tunawataka wao au mi nyuzi tunayotoa hapa ni kuwataka kimapenzi 1. Arusha...
14 Reactions
369 Replies
22K Views
Wanawake bwana ukijifanya unawaletea mambo ya demokrasia nyingi huwa wanaboa na kukuona kama mwanaume flani hivi asiye na meno, Wanaume wenzangu usisite siku moja moja mkeo/Mpenzi wako akikuuzi...
5 Reactions
126 Replies
8K Views
Salama wakuu, hii si mara ya kwanza kupost kitu ya namna hii. Nahitaj mwenza wapendwa kuanzia umri wa 25 hadi 30. Awe angalau nae ana kijikazi chochote cha kumkeep busy ila kasiwe haramu tu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimekuta mtu analalamika; Unampeleka girlfriend wako kijijini kwenu, mkiwa huko mara anaanza kulalamika mboga za kienyeji ni kali sana wakati mkiwa town anakunywa konyagi tena drai... Shwaini...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina miaka 29, Nina kazi, Nipo Dodoma, RC, Nahitaji mwanamke mzuri Wa tabia, sura na akili timamu tuanze maisha. Uchumba 1 month, tunaanza familia. Majukum ya kazi na geto, na upweke pia. This...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nina 30 years now. Kwa kifupi nilipokuwa kwenye 20s nilikuwa mtu wa bata sana lakini nikaja kugundua hizi bata haziishi nikajipa muda wa mwaka mzima no bata no new relationship ili niweze kutuliza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
ZA mda huu Wadau, kama nilivyojieleza mimi ni (me) nahitaji (ke) niko Mwanza .. kwa sababu huu ni mtandao wa kijamii sio mbaya nikafungua mlango wa moja kwa moja wa japo kubadilishana mawazo na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama una mtoto wa kiume wa lika lolote lile, jiongeze sana, fuatilia mienendo take kwa karibu sana kuliko ilivyo kwa mtoto wa kike malezi ya mtoto wa kiume ukikosea tu amekuwa shoga kosa kosa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari za muda huu rafiki yangu, bila shaka u mzima na unaendelea na utaraitibu wako wa kila siku wa kutafuta griss ili kulaini vile vyuma vilivyokaza. Na siku ya leo naomba tujifunze kwa pamoja...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…