Eti Mdau, Hii Hutokea Kweli?

Eti Mdau, Hii Hutokea Kweli?

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
291
Reaction score
198
Nimekuta mtu analalamika;

Unampeleka girlfriend wako kijijini kwenu, mkiwa huko mara anaanza kulalamika mboga za kienyeji ni kali sana wakati mkiwa town anakunywa konyagi tena drai...

Shwaini kabisa......
 
Huyo mtu ni wewe mwenyewe mkuu...na inawezekana mda si mrefu ndio mmetoka kula.

Pole sana mkuu
 
Nimekuta mtu analalamika;

Unampeleka girlfriend wako kijijini kwenu, mkiwa huko mara anaanza kulalamika mboga za kienyeji ni kali sana wakati mkiwa town anakunywa konyagi tena drai...

Shwaini kabisa......
Daaah hayo mambo mengine ya kuacha kama yalivyo mapenz ni upofu
 
Akili mda mwingine ifanye kazi, we utafananishaje ukali wa mboga chungu na konyagi vitu viwili tofauti..


yupo sahihi 98.9% Kuna mboga chungu balaa
 
Mmemlisha nn binti wa watu hadi alalamike ati??

Napenda mashelisheli.
 
Unamlisha majani ya mchunga kwani mbuzi huyoo? kafuge sungura hata kuku hamfugi hapo kwenu au mlienda kwa shangazi yako ndo wana roho mbaya hivo. eheeee1 mwambie hivi hapa ni kwa mji- shangazi dear ok!
 
Back
Top Bottom