Wanaume wa mitandaoni mlijue hili kuhusu wanawake walio mitandaoni

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Wadau mambo zenu?

Wanaume wa mitandaoni baadhi wanaona wadada kama sisi tusio na mahusiano ya kimapenzi na mtu basi tunawataka wao au mi nyuzi tunayotoa hapa ni kuwataka kimapenzi

1. Arusha wanaume wapo na pia wenye sifa mbali mbali.
2. Si lazima mtu awe na mapenzi ya mitandaoni.

3. Labda depressation ndio inamfanya mtu aandike madudu.

Au utoto ila mtu akijitambua anajua kabisa mtu wa mtandaoni sio.

Mwanaume hutoka kwa Mungu ni kutaufuta kwa bidiii.

Kwa hiyo nyie wanaume humu hatujaishiwa mpaka muone tunataka tunyegeshwe.

Sasa upo dar nipo chuga wapi nawapi ila mnamaneno sijui asilimia kubwa ni wafupi kwa maana wanaume wafupi niwachokozi.

Kuoa ni Mungu kwao ndio anapanga.

Hatujashindwa na hatutarudi nyuma tunasonga mbele kauli mbiu hii ya masingle ladies.
 
Alafu wanaume wa Jf kutwa kusema mm kipozeo Dodoma mkome mbona nimelala na wanaume 3 tu wakutoka Jf tena wabahili kama nn mmoja tu alinihonga na kuanzia hapo nadanga zangu kwa wagogo sina habar wala sidangi wanaume wa Jf kwanza hamna magari mnanitembeza na bodaboda kutoka maili mbili mpaka Nkuhungu mxeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eh yaani wachovu kama nini humu ndio wanajidai ila nashukuru sijawahi kuwaona face to face.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanaume wa Jf kutwa kusema mm kipozeo Dodoma mkome mbona nimelala na wanaume 3 tu wakutoka Jf tena wabahili kama nn mmoja tu alinihonga na kuanzia hapo nadanga zangu kwa wagogo sina habar wala sidangi wanaume wa Jf kwanza hamna magari mnanitembeza na bodaboda kutoka maili mbili mpaka Nkuhungu mxeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa uchungu sana shemeji..pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanaume wa Jf kutwa kusema mm kipozeo Dodoma mkome mbona nimelala na wanaume 3 tu wakutoka Jf tena wabahili kama nn mmoja tu alinihonga na kuanzia hapo nadanga zangu kwa wagogo sina habar wala sidangi wanaume wa Jf kwanza hamna magari mnanitembeza na bodaboda kutoka maili mbili mpaka Nkuhungu mxeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄Pole dear
 
Back
Top Bottom