Nahitaji mwanamke anayejitambua

tepetepe

New Member
Mar 22, 2019
3
3
Nina 30 years now. Kwa kifupi nilipokuwa kwenye 20s nilikuwa mtu wa bata sana lakini nikaja kugundua hizi bata haziishi nikajipa muda wa mwaka mzima no bata no new relationship ili niweze kutuliza akili. Sasa naona akili iko sawa nahitaji mwenza nimchuje nione kama atanifaa tufanye maisha maana naanza kuhisi upweke. Nicheki inbox only those who are serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie sihitaji nina miaka 45
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom