Nahitaji kuchati/kubadilishana mawazo mdau (ke) hapa PM.

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
ZA mda huu Wadau, kama nilivyojieleza mimi ni (me) nahitaji (ke) niko Mwanza
.. kwa sababu huu ni mtandao wa kijamii sio mbaya nikafungua mlango wa moja kwa moja wa japo kubadilishana mawazo na kufahamia.. ila zaidi hatuwezi jua nini kinaweza tokea hapo mbele
 
jamaaa anapinda pinda go straight to the point natafuta gegedo basi sasa habar za sijui mbelen kitatokea nn
 
ZA mda huu Wadau, kama nilivyojieleza mimi ni (me) nahitaji (ke) niko Mwanza
.. kwa sababu huu ni mtandao wa kijamii sio mbaya nikafungua mlango wa moja kwa moja wa japo kubadilishana mawazo na kufahamia.. ila zaidi hatuwezi jua nini kinaweza tokea hapo mbele
na mie pia nimo, yaani nataka
 
Back
Top Bottom