Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke huanza kutafunwa akiwa na miaka 13 ama 14. Sasa mpk akafikishe 25 kisha maliza kijiji kizima.
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Jamani naandika uzi huu nikiwa na cheka sana maana leo msichana niliomtongoza na kunisumbua kwa muda mrefu na kuniambia ana mtu wake tena kwa nyodo kweli kweli Nashangaa leo anakuja kuniomba niwe...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Nawaasa vijana wenzangu,tufanye kazi kwa bidii na kuhifadhi fedha zetu ili ziweze kutusaidia ktk matatizo yetu yabaadae! Unampaje mwanamke fedha kizembe tena ambae hana mda naww! Et umempenda? N...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
1.hawazeeki mapema 2.kila nguo inawapendeza 3. hawakinaishi yaani hawana minyama minyama kwenye mapaja ambayo inaweza kukufanya ukawachoka au ukapata uvivu wa kuwapelekea moto. 4.wako shapu yaani...
6 Reactions
37 Replies
10K Views
Trust me kuwa na makoloni mengi kwenye suala zima la mahusiano tena kwa ambao hatujaoa lina raha yake Kolo moja likipata ukombozi a.K.A uhuru unakua na lingine wakati ukiwa tena unatafuta lingne...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ule upendo Wa zamani baina ya mtu na mtu, rafiki na rafiki, jirani na jirani hata jamaa kwa jamaa haupo tena! Siku hizi hata marafiki Wa damu wanaoneana wivu na husda, Machoni wanachekeana lakini...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Wadau rafiki yangu ameniomba ushauri kubusu demu wake. Anasema demu wake ana kazi ana mzazi anaejiweza lakini bado anamuonba hata hela ya kodi, je huyu mwanamke anafaa kumuoa?
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Siku chache zilizopita Nilitembelea maeneo flani hv katika Harakati zangu za kusaka tonge. Kitu ambacho kilinifariji ni pale ambapo kwa Mara ya kwanza nilibahatika kumfahamu member mmoja Maarufu...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Mume wako anapokuambia kuwa acha kazi nitakuhudumia inawezekana ikawa ni kweli, inawezeka aakakuhudumia mpaka unaingia kaburini na wala asilalamike. Lakini kumbuka kuwa mume wako hawezi kumhudumia...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani. Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja... Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Hii ni kauli mbiu ya azam tv sports katika kuipromote ligi yetu ya mpira wa miguu Tanzania. Hii kauli mbiu kama vle inaakisi yaliyomo kwenye ligi yetu kutokana na ubovu wa ratiba n.k Nafikili ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau leo ni kula kuku kwa sana na bia . Msisahau kupima, ukishindwa Condom zipo. Msisahau kabisa baadae mnakuja wadau nawashwa busha zimevimba au nimejikuta nimeparamia mdada mzuri nikasahau...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. Maumbile Viungo vya uzazi...
12 Reactions
104 Replies
126K Views
Daah tumeelewana vzr nimpe mtonyo akasuke apendeze then aje geto tugegedane saizi eti namba unayopiga haipatikani kwasasa jaman ina uma kweli.
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nasema hivi kwakuwa hawa viumbe wanaona mtu mwenye akili na maarifa ni yule anaeleta mtongozo kwa maneno ya uongo. Nilishawahi kufanya uchunguzi kwa wadada wawili kwa kuwatongoza na kuwaambia...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Baba ambaye alizaa mtoto nje ya ndoa,hatimaye akaamua kumchukua mtoto wake na kumuunganisha na familia yake,baada miaka kadhaa tena inatokea sintofahamu kati ya wazazi wenza mahusiano...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wanajamvi mi suala la kutongozwa na wanawake kwangu limenifanya sasa nisijue kutongoza maana wamekuwa wanakuja tu, na baadhi hawasemi moja kwa moja wanatumia ishara tu, nagundua ila nawakwepa...
4 Reactions
134 Replies
14K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka flani hivi sio mbali sana na mwaka huu ni mwaka mmoja baada ya mwaka 2019 niliopoa chombo moja matata, Chura ya kuuzia biriani mazaga mazaga kama yote zero nilivyoambiwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
0 Reactions
366 Replies
90K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…