Kuwa na Makoloni Mengi Kuna Faida yake

Kuwa na Makoloni Mengi Kuna Faida yake

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,792
Reaction score
9,204
Trust me kuwa na makoloni mengi kwenye suala zima la mahusiano tena kwa ambao hatujaoa lina raha yake
Kolo moja likipata ukombozi a.K.A uhuru unakua na lingine wakati ukiwa tena unatafuta lingne la kuziba pengo
Ila usiombe upotezee kolon lako ambalo ulikua unalipenda yaani utataman useme "Maendeleo hayana vyama" yaani....
Jana yamenikuta ya kunikuta bahati nzuri nilkua na makolo yngu Mengine daah...Sijui ningekua Mgeni wa nani nchii hii.

Kuna siku nitaandika uzi wa nini kilichonipata juzi mpk leo.

Good day.................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good day to die hard. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

_Push to Start_
 
Back
Top Bottom