Jamani dada zetu kama mtu humpendi, usipende na vitu vyake

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
732
742
Jamani naandika uzi huu nikiwa na cheka sana maana leo msichana niliomtongoza na kunisumbua kwa muda mrefu na kuniambia ana mtu wake tena kwa nyodo kweli kweli

Nashangaa leo anakuja kuniomba niwe sehemu ya kufanikisha siku ya leo kwake iende vizuri na kufanikisha mishe zake,
i mean anaomba pesa na kuniita majina kibao ya kimahaba

Jamani wadada muwe wa wazi tu
#muda ni mchache mambo ni mengi ya kufanya
 
pole kamanda. Ndio maisha. Baniani mbaya, kiatu chake dawa

acha tu kamanda yani hawa dada zetu acha tu inauma sana,afu unakuta anakuchuna anaenda kwa bwana ake uko
 
Back
Top Bottom