Mimi nipo salama kiasi, nashukuru Mungu nilikuwa naumwa lakini sasa hivi naelekea kuwa na Afya njema.
Mdomo mchungu kiasi lakini sio mbaya sana kuliko hatua niliyo kuwa nimefikia ya Shemeji yenu...
Waku habari ya kutwa?
Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya...
Simkashifu mtu ni ujumbe tu, pia amepata kusema mdau wa masuala ya wanawake
(Lu-Patie!).
"Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye...
Sifa ya watanzania ni ubishi wa vitu ambavyo hata hawavijua.
Sasa leo nakuletea jambo la msingi usibishe kabla ya kujaribu.
Jambo lenyewe ni:
Kama unauhitaji wa mtoto wa kiume tamka maneno haya...
Ninatafuta rafiki wa kike. Awe anaishi Kiteto. Kwa maelezo zaidi, niandikie Private Messege, PM!
NB; Moderator samahani, nimeshindwa ku-access Love Connect Forum, ndiyo maana hii mada nimeiweka...
Salam.
Straight to the chase.
Usiku Wa kuamkia jumatatu, yani usiku Wa pasaka mwenzenu ujinga wangu ukanifika kwenye kidevu......nilikua nimelewa sana tena sana...
Sasa nilipokua nanywea hizo...
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Jamani watu wanaumwa na wanateseka sana hospitalini na majumbani. Tembelea wodi za wagonjwa ndio utajua nini namaanisha. Lakini mbali na mateso wayapatayo wagonjwa...
Nawasalimu kwa heshima
kwa kipindi kirefu nimejihusisha kimapenzi na wanawake tofauti tofauti wa kikurya (I really love them). Nilichojifunza which is common to most of them ni kuwa wanapenda...
salam zot wakuu zwafkie wote
ni hiv imepta zaid mwak m1 toka niache purioo. sasa katka migegedo yangu 8 tokea niache asee nimekuwa wa kulizisha Ks nazo gegeda, pasipo mm pia.
Hi ina maana ya...
Umepewa mimba na mwanaume umemuambia kama una mimba yake labda kakubali au kakataa, sasa umejifungua na una mtoto, tena umemuandika na jina la baba yake kwenye cheti cha kuzaliwa, lakini umemfuata...
Habari zenyu wana Jf na mmu kwa ujumla.
Rejea kichwa cha thread hapo juu,niende tu moja kwa moja kwenye mada.
Events hizi zinaanza tar 01 mwez wa 3.
Sasa kuna huyu bidada(last year student, born...
Ni kama wiki 2 sasa imeshakatika tangu nianzishe mahusiano na huyu single mother lakini vitendo anavyonifanyia walahi huyu mother ananiroga taratibu ili nimuoe,
Kwa sababu Juzi kati hapa kaniita...
MWANAUME Unatakiwa Uwe Na Ghetto Safi
Hadi Siku Demu Wako Akija Kwako Kwa Mara Ya Kwanza Anauliza
"Baby Niweke Wapi Sidiria (Bra) Yangu"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wengi mageto yetu...
Habar za asubuh wakuu? bila kupoteza muda niende kwenye maada, mm ni kijana kuna mtoto mzuri namuelewa Sanaa, nimeanza harakat za kumfukuzia tangu November mwaka Jana, jibu lilikuwa ni kwamba ana...
Siku hizi mtu akitaka kuoa kuna kuwa na event nyingi mara utasikia kutangaza uchumba, pete ya uchumba, kitchen part [wakati muolewaji ameishawah ishi na mwanaume mwingine kwenye sogea tuish miaka...
Mara nyingi nasikia wanaume wa Dar wakiwalalamikia wanawake wa Dar kwamba wanapenda starehe na matumizi mabaya ya pesa lakini sio wote. Sema samaki akioza mmoja ndo hapo panapoleta shida kwakweli...