Achana nae .. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele.
Achana nae!
Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona...
Kumekuwa na kasumba kubwa sana kwa wanawake wa ki bongo kukimbilia kunawa chini kabla tu hamujaanza kugegenana.
Wengi wao husema kuwa mara wametembea sana hivo jasho mara ooh siko konfotabo n.k...
★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!
★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza...
Wakuu, hii ni habari ya kweli..
Nina mdogo wangu mtoto wa mama mdogo, huyu dogo hua hatuko jirani kivile ula hua tunawasiliana hasa kwenye maswala yake ya kazi akipata changamoto hua ananicheki...
Huu mtindo sijui wameutoa wapi wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi tu,
Utakuta wameshona vigaumi vyao flani hivi vya kitenge vimechanua alafu urefu vinaishia mapajani upepo...
Ni binti ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa.Huyu binti nilimpata kipindi anamalizia masomo yake ya chuo kikuu na wakati naingia nae kwenye mahusiano ndio alikua...
Jf people how are you?
Wanaume siku zote na wanawake hakuna asiyependa mapenzi.
Kwa hiyo hutafuta wamiliki wa mioyo yao.
Ila kuhusu mitandao woi sioni kama ni sehemu sahihi kumpata mwenza wako.
So...
Utakutana na msichana mzuri na mwenye muonekano wa kuvutia, akiwa na rika la kuanzia miaka 23 hadi 26 lakini mawazo yake ni mgando. Anatumia uzuri wake kama chombo cha kubadilisha mabwana na...
Mdada Kama kila siku Iendayo kwa Mungu, Mumeo au Boyfriend wako ni sababu ya wewe kulia na kuumia na mapenzi (Usaliti). Stop crying, Futa machozi yako na Uvae Vizuri, kisha Funga safari na Uende...
Ivi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, mnakula vipi, mnafua vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.?
Cha ajabu kwa...
Hapana limenikereketaaa nikaona ngoja nililete jamvini..
Habari zenu wanajamvi.
Iko hivi na date na wanaume ambae apo nyuma aliishi na mwanamke wake bila ndoa na mahari alipeleka ukweni...
Huwa najisikia vibaya sana ninapoenda hoteli yenye swimming pool naishia kutembea kwenye maji na kucheki wengine wakiogelea.
Natamani kujifunza kuogelea maana naweza zama siku yoyote kwenye...
Wakuu kuuliza sio ujinga nyie wenyewe si mnaona Hali ya hewa.mimi Nina mpenzi wangu Ila siishi naye Yuko mtaa mwingine na ninapokaa.Sasa tokea juzi anaumwa anatapika Jana kaenda medical kapimwa...
Kwa kawaida mume na mke hujulikana kama mwili mmoja ikimanisha wameshakuwa kama kitu kimoja
Kwamana hiyo kushrikiana kwa kila jambo na pia kuwa wawazi kwa kila mmoja kwa mwenzake
Ila hili jambo...
Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye...
Nimekuwa napenda sana nyimbo sana za Barnaba na Lavalava. Sasa mara nyingi mke wangu amekuwa ni kama apendi nisikilize nyimbo hzo ambapo kwangu navutiwa sana nazo... Nakuwa sana na hisia ya hzo...
Nilikua na mpenzi wangu mmoja hivi huko nyuma, enzi hizo nilikua sijastablize sana kimaisha ingawa nilikua na kazi ya kudumu.
Nikiwa na huyo binti tukawa na mipango yetu mingi, yeye alikua...