Wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huu mtindo sijui wameutoa wapi wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi tu,

Utakuta wameshona vigaumi vyao flani hivi vya kitenge vimechanua alafu urefu vinaishia mapajani upepo kidogo ukipiga mapaja yote wazi sometime mpaka chupi inaonekana,

Wengine ndio wanashinda kupiga picha za matumbo yao na kupost Insta aiseee wacha niishie hapo.

Cc Zero IQ.
 
Sawa kabisa kwa kuliona hili mkuu.......,

Nasisi huku kitaani kwetu wapo wahivyo, labda nilihisi ni hapa kwetu simanjiro
 
Huu mtindo sijui wameutoa wapi wadada wajawazito siku hizi ni kama wanatembea uchi tu,

Utakuta wameshona vigaumi vyao flani hivi vya kitenge vimechanua alafu urefu vinaishia mapajani upepo kidogo ukipiga mapaja yote wazi sometime mpaka chupi inaonekana,

Wengine ndio wanashinda kupiga picha za matumbo yao na kupost Insta aiseee wacha niishie hapo.

Cc Zero IQ.
Bila kuweka picha ni km unaleta hadithi za sungura na fisi, weka picha tuone ushahidi wa unachokisema
 
Ni kweli..hata mm huwa navaa hvyo ..yaan mimba inavyobana nivae mdera wa nn mm jaman...ni vigauni vifupiii..tena pale mlimani city vipo vitrraaammm..ongea jingine..

had ukawaona barabaran waume zao wamekubali..wewe ni nani had uone wako uchi😏😏😏😏
 
Hilo ni kweli lakini ungewauliza Mkuu Zero wakupe sababu.

Hilo la kupiga picha za tumbo ni kuleta umang'aa na ulimbukeni
 
Back
Top Bottom